hajatusi mtu wala kutukana sasa kati ya yeye na wewe nani anaonekana punguani na mwehu
Mimi sijausikia huo wimbo lakini ningesema, 1. Kama alisema alipata mateso kuliko ISA basi nikiwa kama mkristo najua ISA Bin Mariam anayezungumzwa na wenzetu sio yule Yesu Kristo wa Nazareth aliyesulubiwa zamani za pontio Pilato, 2. Kama amesema YESU akimaanisha YESU Kristo wa Mnazareth mwana wa Mungu sitaona bado ni kufuru kwani mateso ni comparison term, na hakuna katika biblia ambapo panasema mtu hawezi kujifananisha na YESU, Biblia inasema yesu alizaliwa duniani kama Mtu na aliishi kama mtu kwanini tuanze kutumia maneno ya "Kufuru" huu sio msamiati wa kikristo, sisi tuna maneno ya Heri yao au Ole wao basi mumeaanza kuchanganya mambo wakuu wangu! Mnaogopa kuwa kama wao wakati huo huo mnaanza ku-reason kama waoKasema nilipata mateso kuliko "YESU"
.................rather than kuweka jina na ISA a.s
Regards
Dah... hii kaliKuna mmoja ilikuwa asomewe albadiri, sijui hii iliishiaje:
sawa inawezekana hivi wanajamii hakuna watu wanaoteseka mateso zaidi ya huyo yesu acheni utani bwana musilete udini kama vipi tembeleeni maohospitals
waambie hao wakristo wafuatilie mateso waliyopewa wayahudi na hitler na afuatilie mateso waliyapewa watumwa wa kiafrica na wakoloni.ndipo ataona nani aliteseka zaidiMadee mwanamuziki wa midundo ya bongo flavor amekufuru kwenye wimbo wake anaosema amepata mateso makali kuliko ya Yesu.
Wakristo wanaamini kuwa hamna mtu amewahi kuteswa kama yesu. Madee akiwa ni muislamu, hakupaswa kulinganisha taabu zake na mateso ya yesu.
Madee amekufuru.
Nasikitika sana kwa sababu kuna gazeti moja lina picha za msiba na habari fulani ambayo naona inawaongezea uchungu wafiwa. Wanadramatize kwa nini huyu msanii hakutajwa kwenye msiba katika utambulisho na mambo mengine mengi ya kijinga.Taarifa nilizozipata hivi punde Msanii huyu amefiwa na Girlfriend wake wa siku nyingi aitwae Pendo katika ajali ya Basi la Shabiby iliyotokea jana...
Nasikitika sana kwa sababu kuna gazeti moja lina picha za msiba na habari fulani ambayo naona inawaongezea uchungu wafiwa. Wanadramatize kwa nini huyu msanii hakutajwa kwenye msiba katika utambulisho na mambo mengine mengi ya kijinga.
Madee mwanamuziki wa midundo ya bongo flavor amekufuru kwenye wimbo wake anaosema amepata mateso makali kuliko ya Yesu.
Wakristo wanaamini kuwa hamna mtu amewahi kuteswa kama yesu. Madee akiwa ni muislamu, hakupaswa kulinganisha taabu zake na mateso ya yesu.
Madee amekufuru.
Siku hizi neno "mchumba" limepoteza maana yake halisi kwani hata "wapenzi" siku hizi wanaitana wachumba kiasi kwamba tofauti kati ya "mchumba" na "mpenzi" imekuwa kama haipo. Mtu akikutambulisha kwa mtu wake kama ni mchumba lazima uwe makini kuelewa kile anachomaanisha: kwani anaweza akawa na maana ya mchumba kweli au mpenzi tu. Mimi naamini uchumba una uzito zaidi katika mahusiano ya wawili na una process yake k.v. kuvishana pete, kujitambulisha kwa wazazi, kutoa posa, nk. Vikikoseakana hivi huwezi kumuita mpenzi wako ni mchumba kwani hajatimiza hivyo vigezo.Jamaa nadhani alikuwa mpenzi na sio mchumba kwa vile hakutoa posa hivyo sio muhimu kutajwa.Ikiwa wakati wa mzishi basi wapenzi wa marehemu watajwe pia itakua balaa maana kuna watu wanao kwa mamia....
Suala hapa si mateso ya Yesu kama phyisical suffering tu lakini ni hasa ile implication ya mateso ya Yesu. Mateso yake yalikuwa redemptive, yaani kwa ajili ya wokovu wa wanadamu; ni mateso yenye hadhi ya pekee ambayo yeyote awaye hawezi kujilinganisha nayo. Mateso ya Madee na wanadamu wengine hayana hiyo sifa ya wokovu wa dunia. Ni mere physical sufferings. Kumbe kulinganisha mateso ya kibinadamu ya kila siku na mateso ya Yesu ni kukosea njia, ni kufuru kwa sababu mateso ya Yesu ni salvific na si sawa na mateso yoyote yale.Hold your Horse man,not too fast!Binafsi ni evident mateso yanayomkabili mtanzania wa kawaida(at physical and psychological level jamani si madogo).Tusiwashutumu sana generation dot com .
Madee mwanamuziki wa midundo ya bongo flavor amekufuru kwenye wimbo wake anaosema amepata mateso makali kuliko ya Yesu.
Wakristo wanaamini kuwa hamna mtu amewahi kuteswa kama yesu. Madee akiwa ni muislamu, hakupaswa kulinganisha taabu zake na mateso ya yesu.
Madee amekufuru.
Nilivo shubiri ningewatoa resi!!Babu yao umesema kweli, jamii inabidi itofautishe mchumba, mpenzi na rafiki. Naona kama tunaiga mno utamaduni wa wenzetu wa nje kiasi cha kutia aibu. Fikiria ungekuwa mzazi ama ndugu wa karibu wa binti aliyefariki ungejisikiaje kuwaona vijana wenye sura za BANGE wanalia tena kwa maonyesho kwenye msiba. Yaani wanafanya usanii kwenye msiba wa binti yenu?
tatizo letu ni kwamba tunaamini kuwa kiswahili ni lugha ngumu sana kuliko lugha zote ulimwenguni.Siku hizi neno "mchumba" limepoteza maana yake halisi kwani hata "wapenzi" siku hizi wanaitana wachumba kiasi kwamba tofauti kati ya "mchumba" na "mpenzi" imekuwa kama haipo. Mtu akikutambulisha kwa mtu wake kama ni mchumba lazima uwe makini kuelewa kile anachomaanisha: kwani anaweza akawa na maana ya mchumba kweli au mpenzi tu. Mimi naamini uchumba una uzito zaidi katika mahusiano ya wawili na una process yake k.v. kuvishana pete, kujitambulisha kwa wazazi, kutoa posa, nk. Vikikoseakana hivi huwezi kumuita mpenzi wako ni mchumba kwani hajatimiza hivyo vigezo.
Kumbe si ajabu Madee alikuwa ni mpenzi tu wa marehemu kama walikuwa hawajapelekana kwa wazazi, nk. Nampa pole kijana.