Made in PRC ni sawasawa na made in China

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,488
20,445
Nimepokea meseji kibao PM wakiniuliza bidhaa zilizoandikwa made in PRC zimetengenezwa wapi? Maana yake ni kuwa zimetengenezwa People's Republic of China au kwa kifupi ni China, kutokana na udhaifu wa bidhaa za kichina basi wameona wawatrick wateja wasiofuatilia vitu,
Nawakilisha
 
Ndiyo maaNa yake mkuu pigia mistar
 
PRC=People's Republic of China=Jamhuri ya Watu wa China=China
Jamhuri ya Watu wa China ni rasmi, lakini kwa kawaida sisi Wachina husema China tu, inafanana na hali ambapo Watanzania husema Tanzania tu, wala si Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…