Acha mbwembwe Taja iyo kampun ya Iran inayo tengeneza magari.Iran hawajaanza kutengeneza magari leo wala jana toka kipindi kirefu tu na mengi yanauzwa mpaka africa hususan south africa
Safi sana inabidi kipewe bajeti zaidi ili wafunge zaidi ya hayo.Nyumbu kipo tu mbona ila wanatengenza spea tu nafikiri make huwa wananichongea spea nying na nzuri tu kwa ajili ya kiwanda changu!
Lakini sasa na wewe jamani unatumalizia hewa humu
View attachment 923060View attachment 923060
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana inabidi kipewe bajeti zaidi ili wafunge zaidi ya hayo.
Mi Wa mwisho kupumua kwahiyo kwanza nawaachia ninyi mvute hewa halafu mi ndio namalizia,kwahiyo usijali sana sintomaliza hewa ya humu jf
Nalog off
Nyumbu kipo tu mbona ila wanatengenza spea tu nafikiri make huwa wananichongea spea nying na nzuri tu kwa ajili ya kiwanda changu!
Lakini sasa na wewe jamani unatumalizia hewa humu
View attachment 923060View attachment 923060