Mengine huvunjika, mengine huchakaa, lakini pia kila baada ya miaka saba idadi ya wanafunzi mashuleni inakua kwa 20%, hii ni kulingana na takwimu fulani kutoka taasisi moja nyeti hapa nchini.Ni swali liliulizwa hivi darasa la saba wakimaliza huwa wanaondoka na madawati kwenda nayo kidato cha 4? Maana gep la upungufu lina kuwa kubwa kila kukicha