rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,211
- 20,200
Jamaa anaulizia chenji ya Rada povu zanini? Siumjibu tu?CHADEMA siku zote mnapinga maendeleo ya Tanzania. Hakuna anayewasikiliza sasa. Madawati yamepatikana na yanaendelea kupatikana. Alioguswa wamechangia. Ninyi ambao hamjaguswa endeleeni kukaa kimya
Wewe ndiye unatakiwa ufuate mtiririko wa hoja bila kudandia treni kwa mbele.Hili limejibu vipi hoja ya Rada? Hoja iliyopo ni Rada!
Kuipa ridhaa CCM muda mrefu kwa sasa siyo hoja, hoja ni nani atakayechukua nafasi ya CCM? Rais wa Tanzania atakuwa ni nani?
Mwl. Nyerere aliposema ili nchi iendelee inahitaji watu hakuna na maana ya watu wengi wasiojitambua, bali alikuwa na maana ya watu wanaojitambua. Huwezi kuwa na taifa la watu vigeugeu halafu ukategemea kusimamia falsafa na itikadi za kimaisha achilia mbali siasa.
Hii ni mpya, kwamba unatoa hukumu halafu baadaye unatafakari na kutafuta ushahidi. Hii ni sawa ni kusema, unaua halafu baadaye ndiyo unaanza kutafakari na kutafuta ushahidi. Hii ni dhana ya kutojitambua!
Nimefuatilia kika bandiko, ninachokiona ni wewe kubadili hoja ya rada kwa kuleta mada nyingine.Wewe ndiye unatakiwa ufuate mtiririko wa hoja bila kudandia treni kwa mbele.
Unachofanya hapa ni kudandia hoja kwa mbele na matokeo yake hufahamu hata vigezo vilivyotumika kufika kwenye comment uliyo quote.
Ahsante kwa taarifa hii.Tatizo hakuna chama mbadala ambacho wananchi wengi wanaamini kinaweza kufanya zaidi ya CCM!
Wananchi wengi bado wanaamini katika methari isemayo, Zimwi likujualo halikuli likakwisha!
Kujibu moja kwa moja kuwa zimeliwa na walio kula wawajibishwe hawataki.Ahsante kwa taarifa hii.
Turudi kwenye mada, pesa za rada vipi kama alivyouliza mchokoza mada?
Link Madawati ya ‘Chenji ya Rada’ yameota mbawa?CHADEMA siku zote mnapinga maendeleo ya Tanzania. Hakuna anayewasikiliza sasa. Madawati yamepatikana na yanaendelea kupatikana. Alioguswa wamechangia. Ninyi ambao hamjaguswa endeleeni kukaa kimya
Huyu jamaa amechanganyikiwa ...anauliuwa chenchi ya rada....anajibu vingineSwali la msingi limeulizwa, mambo ya CDM hapa yametoka wapi wewe?
kwa hio wewe kwa mtazamo wako finyu unadhani watanzania milioni 45 hakuna mtu anayefaa isipokuwa atoke CCM? Hata hivyo of the recent tumepata chaguo bovu kabisa ambalo vizazi vyetu vijavyo hadi kizazi cha sita vitauja kujuta...Point is CCM kwa sasa haina uwezo wa kuiponya nchi hii...Inapaswa ife aje hata Rungwe Hashim kwa sababu anaweza kuwa bora mara milioni kuliko Wezi wazoefu CCM.
Lengo namba moja la chama chochote cha siasa ambacho kiko serious ni kushinda uchaguzi mkuu.Lakini endapo Taifa hili la Tanzania haliendelei kwa sababu ya watu wasiojitambua......hiyo bado inarudi kwenye utawala mbovu wa CCM ....CCM imetengeneza na kulea ujinga kwa muda mrefu....Hivyo basi..ninavyokwambia Root Cause ya matatizo ya nchi hii ni Utawala Mbovu wa CCM uliofeli hata kutengeneza Skilled and knowledgeable Human Reources namaanisha
Yes, kuna uwezekano chenji ya Rada ilipigwa.Nadhani hii sio hoja ya msingi sana...Be Objective
Kumekuwapo kuchangishana fedha nyingi tuu kwa hiari na lazima kwa ajili ya ununuzi wa Madawati.
Pila lipo tishio pale ambapo RC, DC, REO,DEO hata mtendaji wa kata kutumbuliwa ikiwa zoezi LA madawati halita kamilika.
Lakini mbona serikali haijatueleza zile pesa tulizokuwa tumeibiwa na kampuni ya BAE System ya UK kwa msaada wa wenzetu wachache kina Change na zikarudishwa Bil 78.7 (figure inaweza rekebishwa) na kupelekwa kwenye madawati mbona kimya?
Hizo ni fedha nyingi sana, na kama zingenunua kweli hayo madawati pengine tatizo lingeisha au kuwa dogo la kawaida lisilohitaji kampeni kiasi hiki.
Au na Chenji ya Rada nayo ilipigwa? Na kama ilipigwa mtumbuaji mbona yuko kimya na wengine sasa hivi ndio wanakosa amani kuchangisha wasio na fedha?
Baadhi ya pesa za chenji ya Rada kuna uwezekano mkubwa zimeenda kwenye mifuko ya watu ''wajanja'' kwa sababu mpaka serikali ya awamu ya nne inamaliza muda wake, hatukuweza kupata majibu sahihi.Ahsante kwa taarifa hii.
Turudi kwenye mada, pesa za rada vipi kama alivyouliza mchokoza mada?
Ungekuwa umefuatilia kila bandiko nadhani ungefahamu kuwa haya unayodai hayahusiani na mada yameanzishwa na yule niliyekuwa nime-quote comment yake.Nimefuatilia kika bandiko, ninachokiona ni wewe kubadili hoja ya rada kwa kuleta mada nyingine.
Hili si jambo geni ndio utaratibu wako wa kuharibu mada ambao wenye macho na fikra wanaujua
Umeulizwa simple tu,pesa za rada vipi? Hayo mengine hayahusiana na mada wala hayana tija kuyasoma.
CHADEMA siku zote mnapinga maendeleo ya Tanzania. Hakuna anayewasikiliza sasa. Madawati yamepatikana na yanaendelea kupatikana. Alioguswa wamechangia. Ninyi ambao hamjaguswa endeleeni kukaa kimya
Unao uhakika wanachaguliwa? Mbona kuna kasoro nyingi zinatajwa na sio wapinzani wa ccm tuu bali hata observers wa nje?Sijasema hakuna watanzania wa kuongoza Tanzania, ninachotaka kufahamu ni chama chenye uwezo ambacho kitatoa Rais wa Tanzania mwenye uwezo zaidi ya uliopo.
Kusema kwa kutumia hisia kuwa tumechagua chaguo bovu kabisa hakuwezi kuondoa msingi wa hoja yangu kwa sababu kuna wengine watakuambia tumechagua chaguo bora kabisa.
Ni nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania zaidi ya hili unalodai ni chaguo bovu kabisa.
Lengo namba moja la chama chochote cha siasa ambacho kiko serious ni kushinda uchaguzi mkuu.
Kama CCM wanashinda uchaguzi wakati utawala wao ni mbovu, basi tatizo siyo la CCM bali ni tatizo la vyama vinavyopambana na CCM.
Badala ya kuilalamikia CCM inayochaguliwa, ingekuwa ni vizuri pia kuviangalia vyama vya upinzani ambavyo havichaguliwi pamoja na uwepo wa ubovu wa CCM.
Yes, kuna uwezekano chenji ya Rada ilipigwa.
Unachokifanya hapa ni sawa na kuuliza bunge la 11 kuhusu sheria zilizotungwa na bunge la 10 eti kwa sababu kuna baadhi ya wabunge walikuwa kwenye bunge la kumi ambao wamechaguliwa tena kwenye bunge la 11.
Hii ni serikali ya awamu ya tano wakati chenji ya Rada ilifanyika wakati wa awamu ya nne.
Asante sana kwa kuweka hizi links.
Acha kupotosha katika hili. Unataka kutuambia haya yote anayotumbua Magufuli ni wizi na ubadhilifu uliofanyika awamu ya tano?Sijasema hakuna watanzania wa kuongoza Tanzania, ninachotaka kufahamu ni chama chenye uwezo ambacho kitatoa Rais wa Tanzania mwenye uwezo zaidi ya uliopo.
Kusema kwa kutumia hisia kuwa tumechagua chaguo bovu kabisa hakuwezi kuondoa msingi wa hoja yangu kwa sababu kuna wengine watakuambia tumechagua chaguo bora kabisa.
Ni nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania zaidi ya hili unalodai ni chaguo bovu kabisa.
Lengo namba moja la chama chochote cha siasa ambacho kiko serious ni kushinda uchaguzi mkuu.
Kama CCM wanashinda uchaguzi wakati utawala wao ni mbovu, basi tatizo siyo la CCM bali ni tatizo la vyama vinavyopambana na CCM.
Badala ya kuilalamikia CCM inayochaguliwa, ingekuwa ni vizuri pia kuviangalia vyama vya upinzani ambavyo havichaguliwi pamoja na uwepo wa ubovu wa CCM.
Yes, kuna uwezekano chenji ya Rada ilipigwa.
Unachokifanya hapa ni sawa na kuuliza bunge la 11 kuhusu sheria zilizotungwa na bunge la 10 eti kwa sababu kuna baadhi ya wabunge walikuwa kwenye bunge la kumi ambao wamechaguliwa tena kwenye bunge la 11.
Hii ni serikali ya awamu ya tano wakati chenji ya Rada ilifanyika wakati wa awamu ya nne.
Hii taarifa ilitumika kuwahadaa kondoo na kuwapiga changa la macho wadanganyika.Asante sana kwa kuweka hizi links.
Sasa tujiulize kama hela iliyokuwa imekusudiwa madawati imeliwa kwa njia haramu na serikali, Viongozi wanapata wapi moral authority ya kuwabana na kutishia kuwafukuza kazi wakishindwa kuwachangisha (kuwakamua) wananchi michango ya madawati?
Madawati ni muhimu, lakini kweli ni sahihi kunyang'anya masikini mbuzi au kuku kwa vile hana cash wakati waliolamba mabilioni ya hayo madawati wanatanua na ma V8?
Kusema wanachaguliwa au hawachuliwi ni kuingia kwenye mjadala mwingine ambao ni mpana zaidi kwa sababu hakuna mchakato hapa duniani ambao hauna mapungufu.Unao uhakika wanachaguliwa? Mbona kuna kasoro nyingi zinatajwa na sio wapinzani wa ccm tuu bali hata observers wa nje?
Ndio maana unahitajika uwanja huru wa mchezo huo
Hakuna ninachopotosha.Acha kupotosha katika hili. Unataka kutuambia haya yote anayotumbua Magufuli ni wizi na ubadhilifu uliofanyika awamu ya tano?
Wizi (kama upo) wa hela ya Rada hauna tofauti na NIDA, Makontena, DART nk nk ambayo yalifanyika huko nyuma na rais anachukua hatua