Madawa ya kulevya:

Kaka1

Member
Aug 7, 2013
87
22
Wanajf hii mambo ya madawa kulevya mimi nadhan ni kutokana na mambo yafuatayo:-
1.RUSHWA
2.KUJUANA
3.UZEMBE WA M
AFISADI.
waweza ongeza ila wenzetu wanaangamia china na kwingineko kwa sababu ya watu wachache.
 
NOP tatizo ni Mwinyi na swaiba wake Kikwete.
 
Muulize Kikwete kwanini amekumbatia majina ya wafanyabiashara wa madawa ya kulevya? Yeye kila kitu hawezi kuchukua hatua, sijui ni Rais wa namna gani huyu. Nashawishika kuwa pengine naye anahisa katika biashara hizo: madawa ya kulevya, ujangili, ufisadi nk.
 
Back
Top Bottom