uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,085
Kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa RC wa Dar. Kwa kuthubutu kulifanyia kazi swala hili la Dawa za kulevya.
Najua kuwa ni jambo ambalo linahitaji ujasiri mkubwa sana kuliongelea kwa sababu lina gusa watu wenye mtandao mkubwa nawenye fedha nyngi.
Kipekee nimekuwa na wakati mgumu sana kuona baadhi ya watu wanye nafasi kubwa wakipingana na harakati alizo anzisha Makonda. Nilitegemea kuona kila mtu kwa nafasi yake angeweza kumuunga mkono Makonda.
Nina jiuliza hivi hawa wa heshimiwa wote wanaotumia nguvu kuongea na kukemea kuwa Makonda amekose je wao wamefanya nini katika kuzuia biashara hii haramu? Vijana wengi wanaharibika katika mitaa tunayo kaa na kitu kinacho waharibu ni UNGA. Ilikuwa vita ya Taifa vs Unga lakini sasa imegeuka kuwa Makonda vs Waheshimia.
Nimefurahi ukuona wananchi wengi wakimpongeza na kumuunga mkono Makonda kwa kuthubutu kupambana. Ila na shangaa kwa nini Wahashimiwa wana pinga sana hili swala, au kwa vile wamezoea kubisha na kwenye lile jumbalo hata vitu vyenye ukeli wao hubisha pia?
Napenda kumuomba Makonda aendelee hivyo hivyo maana hata yeye mwenyewe alisema vita hivi ni ngumu sana. Asisikilize watu wanasema nini ila afanye kile ambacho anaona kipo sawa kwa taifa kwajili ya kupambana na vita hivi, maana Taifa la kesho linaangamia.