"Madawa" ya Kulevya Yahalalishwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Madawa" ya Kulevya Yahalalishwe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mulambakao, Jul 19, 2011.

 1. mulambakao

  mulambakao Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni dhahiri kwamba hii habari inaendelea kuishi na in umri mkubwa tu na watu wengi wamefaidika sana wanaendesha maisha yao ya kila siku na kuiendeleza jamii yao kwa kiwango cha pekee, mifano ya mafanikio ya huu mradi (madawa ya kulevya) yanaonekana wazi kabisa all around the world na hakuna ubishi! sijakosea kusema! ​ na kwa kiwango kinachozidi mafanikio hayo, madawa ya kulevya yameleta athari kubw kubwa (massively a catastrophe) katika hii dunia kwa ujumla. Ni ukweli pia usiopingika, well, katika nchi baadhi zilizoendelea, e.g Germany, wananchi wanaruhusiwa kutumia kiwango kidogo cha bangi(dawa mojawapo ya kulevya) ili mradi tu wasi-possess! Pia katika nchi kama Marekani na zinginezo! Ukweli ni kwamba binadamu hujaribu kutatua matatizo yake ili aweze kuendelea kuishi in harmony! kwa hiyo kama unamzuia kushiriki kwenye biashara yenye faida kubwa sana duniani, maanake atatafuta in anyway namna , mbinu za hatari ikwa pamoja na kushirikisha dola ili malengo yake yafikiwe, regardless madhara yatakayotokea, The big picture take is Kwa nini madawa hayo yasiruhusiwe kwa a controllable amount?
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  pombe pia walianza kwa kusema hivo hivo. leo tuko wapi? ukisema tukataze pombe ni maandamano straight. Cigara nayo wanajaribu kukataza lakini ona matokeo. Kwa kweli wakiruhusu hata kidogo ndio basi tena, wamesha mwaga maji.
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,249
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  hapana, hapana! Hivyo ndo wataharibu kabisa!
   
 4. mulambakao

  mulambakao Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu if you can't fight them tell me why not join them!
   
Loading...