MADAWA YA KULEVYA: RC Makonda na Kamanda Sirro waongea na wanahabari

Aug 8, 2016
98
81
Kamanda Sirro yupo live star TV ataongea na waandushi wa habari kuhusu madawa ya kulevya na wahusika.



===== Updates =====​

Troll JF said,
Bellow are important quotes za Mkuu wa mkoa Dar es Salaam

'Furaha yetu si idadi ya watu wangapi tumewakamata kwa dawa za kulevya, furaha yetu ni DSM kutokuwa sehemu ya dawa za kulevya'-RC Makonda

'Ikipona DSM na dawa za kulevya huko pote mikoani patakuwa salama' -RC Makonda

'Kuna watu tuliwaita, baadhi nimeambiwa hawajafika, ambao hawajafika nimeagiza wakachukuliwe wakae ndani mpaka siku ya jumatatu'-RC Makonda

'Tumeunda timu maalumu ya kushughulika na wanaouza dawa za kulevya, timu itakuwa na vyombo vyote vya dola si polisi peke yake'-Kamanda Sirro.

Kamanda Sirro amemtaja Vanesa Mdee kuwa miongoni mwa wanaotuhumiwa kuhusika na mtandao wa madawa, amtakiwa kuripoti kituoni Jumatatu.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam @paulmakonda ataja majina mengine ya wanaohusika na dawa za kulevya wakiwemo @VanessaMdee na Tunda na askari .
 
Nahisi Kamanda Sirro kama hii press conference yake itakua inahujumiwa isifanyike.

Makonda atakua kamuita kwenye chumba cha mahojiano ndiyo maana waandishi wa habari wamebaki na camera na mic zao mkononi hadi imebidi star TV waendelee na kipindi kingine.

Ameambiwa haiwezekani boss wako anawahoji watuhumiwa wakati wewe unafanya press conference ila naamini Sirro ataongea tu leo.
 
Back
Top Bottom