Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,687
- 239,241
Uchunguzi wa watu wengi ndani ya nchi hii umebaini kwamba Madaraka hulevya , mimi binafsi nimethibitisha hili .
Kwa imani za dini , ndoa ni sehemu ya ibada , kuziwekea masharti yoyote ya maana au ya kipuuzi ni sawa na kumkufuru Mwenyezi Mungu , sikufahamu haswa lengo la kufuru hii kufanywa na mtu aliyejinasibu kama mcha Mungu ( nakumbuka ulivyokuja kanisani kwetu Nduli ukiwa na marehemu Sitta , uliyoyasema bado tunayakumbuka )
Kwa sasa Raia wa Tanzania anacho hata kitambulisho cha Taifa achana na hicho cheti chako cha kuzaliwa , je hana haki ya kuoa ?
Je Mtanzania hana haki ya kuoa Mzungu au raia mwingine wa kigeni ?
Kwa ajili ya kumbukumbu ya wanaJF, Kyela ni miongoni mwa maeneo ya nchi hii ambayo wakazi wake wengi hawana vyeti vya kuzaliwa wala hawana elimu kubwa kuhusiana na umuhimu wa vyeti hivyo .