Same_Return_1878
Member
- Nov 14, 2019
- 14
- 30
Ebu itaje hiyo nchi ya Africa Mkuu inaitwaje tunaweza kujifunza kutoka kwao Ila nachojua watakuwa waarabu na sio nchi za kibantuHii nchi bado ni maskini sana aiseeh basi tu. Mtu anahangaika miaka yote shule na university anatoka na degree yake then anakuja kulipwa 765,000/- kwa mwezi mzima?! This is equivalent to 293 USD. Binadamu anawezaje kuishi kwa USD 293 kwa siku 30?! Na huyu ndo anasemakana kasoma adi degree, ambao hawajasoma wako mtaani wanaishije?! Walioko vijijini je?! Kuna nchi nilikua naprocess visa ya kwenda huko kiwango cha chini cha pesa unayotakiwa kua nayo kwa mwezi kijikimu kimaisha ni 800 EUR hii ni kama 2.4M hivi kwa pesa za Tz. Kuna nchi Africa tu hapa kila raia ambae hafanyi kazi analipwa kima cha chini cha wafanyakazi wa kawaida serikalini ama sekta binafsi, bima ya afya kwa wote na elimu bure adi chuo kikuu. Watumishi wanalipwa minimum salary kulingana na hali ya uchumi. Calculations zote zinafanyika kitaalamu kiasi ambacho pesa anayolipwa mtu itatosha kikidhi mahitaji halisi ya kibinadamu.
Si usememe ni wewe kijana πππWakuu naomba kuuliza swali. Rafiki yangu amebahatika kupata ajira za utumishi katika wizara ya kilimo baada ya kuhangaika sana na usaili kila mwaka.
Ameajiriwa katika ngazi ya bachelor's degree, na daraja la mshahara aliloanza nalo ni TGS D.1, yaani atakuwa anapokea 765,000 TZS kama gross salary. Swali ni kwamba, je inachukua muda gani kupanda daraja kwenda mfano TGS D.2-D.12 au kupanda kabisa kwenda TGS E ?
Je ni vigezo gani huhitajika katika kupandishwa daraja la mshahara? Je atahitaji kwanza kwenda kusoma masters degree ili kupanda au ni huangaliwa muda wake katika utumishi? Na ni nani anayeamua mpandisha mtumishi daraja la mshahara?