Madanguro ya makahaba Mwananyamala mpaka lini?

Madanguro ya makahaba Mwananyamala mpaka lini?

Hii ajira haihitaji vyeki. Ni kiuno chako tu. Waache dada zetu wajiajiri bwana. Tanzania ya viwanda imebaki ndoto za mchana tu.

By the way wanaotakiwa kulaumiwa ni hao wateja wao.
 
Naombeni mnielekeze
Nikishashuka pale mwananyamala hosp naelekea wapi??
 
Kwanini biashara hiyo ikome? Biashara yenye wateja itakomaje? Mie nilitegemea unaishauri serikali itoe leseni kwao ili biashara iwe halali na iboreshwe. Nchi zingine zinakusanya kodi kwa makahaba na fedha hiyo hiyo ndo hutoa misaada katika nchi masikini kama yetu. Tusiwe masikini jeuri kuto kukubaliana na hali iliyoopo. Uzinzi umeshamiri hakafu tunataka kujifanya haupo! Hapa JF post ya ufusika ndo yenye wachangiaji wengi kuliko post za maana katika jamii. Huo ufusika unafanyika kati ya nani na nani? Binadamu na ng'ombe? Au?
 
Habari wanajamvi

Kwa hali isiyokuwa ya kawaida biashara ya dada zetu kujiuza inazidi kushamiri maeneo ya Mwananyamala. Maeneo haya yamejengwa vibanda vingi sana na wanawake hujiuza hata mchana ikisemekana biashara hii huwakumba vijana wa kiume hata wenye miaka 16-21.

Biashara hii iliyopo karibu na hospitali ya Mwananyamala upande wa juu ukivuka barabara, je viongozi wa mkoa na wa serikali za mitaa hawajui uchafu huu unaoendelea kuwakwaza wakazi wa maeneo haya?

Naiomba serikali na mamlaka zake kukomesha biashara hii na kuwachukulia hatua wamiliki wa vibanda hivi ambao huvikodisha kwa wanawake hao wanaofanya biashara haramu.
mkuu elekeza njia vizuri, unapita kichochoro gani baada ya kuvuka barabara?
 
Back
Top Bottom