Nafikiri mfikisha mada alitaka kusema kua walimu wengi nichanzo cha wanafunzi kufeli..trick alizokua anatumia madam ziliwafanya vijana kufaulu vzr nakumpenda teacher huwezi jua wabaya wake ndio wamemtangulizaKwa hiyo ulitegemea tumle kimasihara madam joy.....?
Mbona form two tulikuwa tunafanya necta mdau nadhani ndicho alimaanisha badala ya nacte.Form two,maana yake ulikuwa sekondari!Halafu mwisho ukafanya mitihani ya NACTE?Kuna kitu hakiko sawa hapa.
We jamaa daah [emoji3][emoji3][emoji3]Walimu bhana kama minyani vile
Haelewi tofauti ya nacte na necta au la tying errorForm two,maana yake ulikuwa sekondari!Halafu mwisho ukafanya mitihani ya NACTE?Kuna kitu hakiko sawa hapa.
Ni humohumo mkuu sema ni kitambo sana labda tukumbushane nacte na necta . Alafu hii ndio najua leo kama kuna hivi vituMbn chai kbs hii, nacte na sekondari wap na wap??
Au ndo wasomi wetu wa nacte form2, mkuu inaonyesha hat number hujawah kupata maksi juu ya umri wako, shule zkifunguliwa muulize mwl wako tofaut ya nacte na necta
FTNA. Form Two National AssessmentNi kitambo sana ile ya form two hua inaitwaje...?
Ndo hivyo kunautofauti ama Mimi na wewe tumesoma zama tofautiKwanza leo ndio najua kama kuna tofauti