Madam Speaker Makinda:.. Congratulations but...A Word of Caution

Pasco mbona unaleta info nusu nusu? Amedai wapi?

Halafu Mkuu huwa unaleta habari njema lakini wakati mwinginei tukikupiga maswali unaingia mitini.

Hebu tuhabarishe zaidi.
Superman, samahani sana for this, swali lako sikuliona then ndio naliona sasa, My source was from the 'horses mouth' tena huku akiji bost na kuji pride with his success!.
 
u
Duh! king maker? Kweli niko outdated!
Naomba tu mnisaidie huy aka k.m. ni nani! Au ndio EL?
The King ni JK.
The King Maker is the one who made the king.
El was one of pop group duo 'BOYS II MEN' sponsored by the KM.
Yale niliyoyasema nilimsikia mwenyewe kwa masikio yangu akijiboast in front of my face!.
 
Tusipoangalia tunaweza kushuhudia kurudishwa kwa chama kimoja kwa nguvu lakini wakati huohuo kuwapa wananchi nafasi ya kuona inakuwaje unapokuwa na bunge lenye kuwa na fikra moja. Na kinachonitisha mimi zaidi ni dissent ndani ya ccm. Ndani ya ccm bungeni au nje ya bunge ni lazima kuwa na tofauti ya mitazamo vinginevyo ccm itaanzb kulazimisha conformity or else.
Inawezekana kabisa Makinda haelewi maana ya umoja ndani ya bunge... nina shaka anataka kufananisha umoja, na "umoja" yaani imla

umoja na imla ni vitu viwili tofauti ingawa kwa aliyetumwa vyaweza kuwa sawa
 
Hakika nikiangalia history ya kazi kwa huyu mama, hawezi kuwa na jipya lelote, zaidi ya kuendesha bunge kimazoea tu. Na hiki ndicho wanachojivunia CCM kuwa na experience. Hii experience yao inawafanya kuendesha mambo kimazoea tu na si ubunifu.Its known too much dependence on experience kills innovation and promotes routine steps.
Rafiki mmoja kaandika kwenye facebook kwamba"Lets say tumeigawa Tanzania into two parts, North and south and wape maskini wakae North kisha viongozi wa sasa na matajiri wakae south.Posibility ya kuja kukuta masikini wamejaa south na matajili wamekaa north ni kubwa, kwani matajili wa sasa strategy yao si kuzalisha bali ni kuwaibia masikini, thats why masikini hawaendelei. hawa wezi wakikosa wa kuwaibia watafilisika, na hawa masikini wasiponywonywa watachanua soon". Mwisho wa kunukuuu
 
asante mtaalam nakuamini kwa message yako kama vile ulizaliwa enz za macrtical thinkers mwacheni huyo mama hana tatizo kwani ndio anazidi kuonyesha kuwa pamoja na kupiganiwa na mafisadi ili afike hapo alipofika bado ameshindwa kumanage bunge hi inadhirisha kuwa hakustahili kuwepo kwenye hicho kiti ila ni kwa sababu ya uozo wa lowassa,rostam aziz na mzee wa vijicent aliyefika hata mahali akasema kuliko sitta apewe hicho kiti bora tukose wote.ila tukae tukijue the end justify the means.
 
Oh Madam Speaker you didn't listen to these words of mine; well labda sasa itabidi tuanze movement ya kutaka uwe impeached!

Madam Speaker, democracy is created, maintained and nourished by the presence of dissent and diversity of thoughts. This must be more true in the People's House. For it is here where their rightful representatives of the people gather to discuss, argue, oppose, support different positions and ultimately create our laws. It is here then where diversity must be desired and guaranteed by the Speaker. It is here where Tanzanians of all works of life must learn to see political opposition as part of that same unity and not an enemy to true unity. If we all think alike, agree on everything, and dissent is despised as "anti-unity" then we would all become automatons of sort. We must not let that happen.
 
Oh Madam Speaker you didn't listen to these words of mine; well labda sasa itabidi tuanze movement ya kutaka uwe impeached!
Mkuu Mwanakijiji, spika wetu ni kiazi, muda wa kupita jf autoe wapi?.

Bado natafuta muda nipitie kanuni nijiridhishe kama Spika anayo mamlaka ya kutosikiliza hoja ya muongozo wa spika au taarifa.

Kwa uelewa wangu najua inapotokea hoja ya muongozo au taarifa spika hana mamlaka ya kuizuia bali ana mamlaka ya kuikubali, kuikataa au kutumia busara ya kiti baada ya kuisikia na sio kuizuia kabla hajasikia ni muongozo wa nini!.
 
tumemuwezesha wenyewe sasa hii minongono ya chini ya meza ni ya nini? - mama mwendo mdundo upiku viwango vya 6...
 
Tusipoangalia tunaweza kushuhudia kurudishwa kwa chama kimoja kwa nguvu lakini wakati huohuo kuwapa wananchi nafasi ya kuona inakuwaje unapokuwa na bunge lenye kuwa na fikra moja. Na kinachonitisha mimi zaidi ni dissent ndani ya ccm. Ndani ya ccm bungeni au nje ya bunge ni lazima kuwa na tofauti ya mitazamo vinginevyo ccm itaanzb kulazimisha conformity or else.

great seer!
 
Madam Speaker,

Congratulations on your election to become the Speaker of our National Assembly. Your historic election has come at the right moment and signals that hard work, diligence, and dedication to duty ultimately pays off. I join other Tanzanians in celebrating this “national moment” as the Fifth Republic is beginning to take shape.

Madam Speaker, your gratitude words this morning prompted me (and possibly others) to sit for a moment and take your words seriously in order to understand your vision for the Parliament towards 2015 and beyond. One common thought has occurred in your pre-election words, on your election and in your first press conference which is “unity of the parliament”. In different words you have signaled that you will lead the House in such a way that unity of decision is reached. In other words as I understood you correctly dissent and diversity will have their limits and at the end conformity will have an upper hand.

Madam Speaker, I totally believe that if this is the vision you have for the Parliament and the country as you have implied then it is the wrong vision. It will lead into curbing the democratic progress we have made in the past few years, will usher an era of political intimidation and humiliation, and will force Members of Parliament to try to conform to this “Speaker’s standard” which I believe is undemocratic and if not checked will lead to the rise of the tyranny of the political minority.

Madam Speaker, democracy is created, maintained and nourished by the presence of dissent and diversity of thoughts. This must be more true in the People’s House. For it is here where their rightful representatives of the people gather to discuss, argue, oppose, support different positions and ultimately create our laws. It is here then where diversity must be desired and guaranteed by the Speaker. It is here where Tanzanians of all works of life must learn to see political opposition as part of that same unity and not an enemy to true unity. If we all think alike, agree on everything, and dissent is despised as “anti-unity” then we would all become automatons of sort. We must not let that happen.

I understand your duty to your political party and to see that the Parliament must be functioning in a very higher standard of accountability and discipline. I absolutely agree with you that our Parliament can not and must not be allowed to be a House of Chaos where old grudges and vendettas are resolved or where unending allegations against other people are made under the guise of parliamentary immunity. I believe if the aim is to reach a standard where when true allegations are made then the full extent of parliamentary powers will be used to reach a just and transparent decision. If this is your definition of “unity of parliament” I absolutely agree with you.

Madam Speaker, as you start your historic tenure I believe that you will defend democratic principles as you have been sworn to. You were not sworn to “defend or protect” the Constitution of your ruling party nor to protect the interests of few individuals or a group of people but the Constitution of Our Republic. As I watched you take an absolute oath this morning I believe that you really meant every single word you uttered. It is for this reason, I believe your tenure will not just be historic in nature but at the end history itself will judge your tenure kindly.

Once again, congratulations and God Speed as your start this journeyl. I’m wishing you and your family good health and Providential Wisdom to lead our people with fairness, love and justice no matter the cost.

May God Bless Tanzania
May God Bless Africa!

Mtawabandikia mabandiko ya kila aina,ya kila lugha.Lakini hawa jamaa ni vipofu na viziwi waliokubuhu.Katika hili Madam Speaker hana uhalali wa kutekeleza uliyomubandikia kwani aliwekwa kufanya hivyo,na lazima afanye hivyo.Waacheni wafu wazike wafu wao.CCM imeshajifia tangu 2010 trust me.
 
Back
Top Bottom