Madam Speaker kapendeza!!

JF sasa imeingiliwa .. hawa watu wanapost utumbo kama huu futa bana ondoa hivi vitu hapa barazani inakuwa kama FB
 
Chezea vingast weweeeeeeeeeeee wanajua kutunza /.....................
 
Huyo aliyekaribu kama anatupa maneno ya kikubwa vile! Ninani huyo?
Jamaa ni muwakilishi wa program ya mbio za uhuru. Wala sijui inadeal na nini hiyo?
 
JF sasa imeingiliwa .. hawa watu wanapost utumbo kama huu futa bana ondoa hivi vitu hapa barazani inakuwa kama FB
Teh teh, ni sehemu tu ya kuappreciate uzuri wa kiongozi wetu mhimu wa nchi. Doesn't she look sweet? Why cant you say thanks God for this beautiful leader of the nation?
 
Bi Kiroboto ana kamvuto ka kiaina, tatizo mpangilio wa meno yake, akicheka inakuwa baraaaa!
Afanye mpango meno yapangwe vizuri, akitupia na ka-mwanya hivi aaaaah!
 
Senkyu vere machee.............
 
Waooo kiroboto. Hapo leo hakuna mwongozo wala taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…