Madam Rita wa Bongo Star Search

Sio kwa kuadimika huko binamu Miss you too

Bora alivyoitoa TBC.. Maana mnaweza kua mnasubiri kipindi unashangaa leo kipindi kitachelewa .. Kuna kipindi cha kilimo cha mbogboga kwanza...

Ha ha ha you made my day eti kipindi cha mboga mboga
 
Nampenda sana madam Ritta.
She is awesome.....
 
inawezekana madam rita alikuwa anapiga vidonge vya uzazi, machache kafundishwa katerero na bibie changanya na kelele za mahaba
Sipati picha kama unampiga bakora huyu mwanamuziki mwenye sauti nzuri, alaf alie kwa mahaba lazma uchanganyikiwe..!
 
itaonyeshwa star TV soon we angalia TV tu. utaona maTANGAZO:shock::shock:πŸ˜›oa:bump2::blah::decision::A S crown-2::rant:πŸ˜›hone:
 
Kwishney, that’s all!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…