hahahaha mi ndio refa wakitoa droo unaondoka na refa
mi avantar tu najua mtoto wa kitanga huyoooooo mbwela mbwela
unataka useme BOFLo ana u''cameruun'' ndani yake??
Boflo si nasikia ni mjomba wako,au ni taarifa zisizo na ukweli?
hahahaha mi ndio refa wakitoa droo unaondoka na refa
mi avantar tu najua mtoto wa kitanga huyoooooo mbwela mbwela
traa traa traa.... Arifu nakuona unavyotaka kumwaga chozi.. Halafu unafanana na Le Mutuz.
MzunguMndali na Nicas Mtei naona mnabishana hapo.
Haya bishaneni mpaka mpigane na mshindi ataondoka na mimi.
Unavyopendapenda, utaachika sana mwaka huu kitoto wewe!!!!
Mimi niachike?
Labda Dunia ipige Samasoti
We haya we, ujana maji ya moto, hata bibi alikuwa binti
Hahahaaa...naona unajisema kupitia mimi...pole!
Hayo ni maneno tu,
Hata kwenye Boxer yako yapo.
Utanifanya nini cha ajabu
ukinikamata!!??? ninachoogopa dunia hii ni kubakwa na mwanamke
tu,mengine yoote siogopi, vipi umenimiss!!???
Punguza stress arifu. Hapa panaitwa stress free zone. Kama una hasira sana nenda jela kapge story na She Bonda..
Unataka Nikumiss?
MzunguMndali na Nicas Mtei naona mnabishana hapo.
Haya bishaneni mpaka mpigane na mshindi ataondoka na mimi.