MzunguMndali na Nicas Mtei naona mnabishana hapo.
Haya bishaneni mpaka mpigane na mshindi ataondoka na mimi.

He.......!!!!!!!!
kaka mkali huyo,kweli tutakuwa na ma-boifrend namna hiyo?
Hahahaaa...usinichekeshe mie Madame B,huyu Nicas Mtei sijui ameota ndoto yangu leo,maana naona tangu asubuhi amenivaa tu toka ule uzi wangu wa kuomba radhi...dah!
MzunguMndali na Nicas Mtei naona mnabishana hapo.
Haya bishaneni mpaka mpigane na mshindi ataondoka na mimi.
Yaani umeamua kujigeuza tuzo kirahisi namna hii! Mshindi ni Nicas Mtei! Haya sijui atakufata tanga?

hivi Madame B yupo tanga????
sijui umpige na kibaoo au mwache tuu
Nipo Lushoto-Tanga mkuu kumalizia msiba wa baba.
Usiseme nipo. Sema tupo.
Boya mwenyewe mpumbavu wa akili wewe!!
Umpotezee nani wewe mwanaume uso na haya?
Kwenda huko!!