King Victor
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 463
- 293
Mda mwingune unaweza ukamshuhudia dalali wa hizo mambo usiye mtarajia kabisa
Love and peace
Love and peace
unatoa majibu mafupi sana.Achana nazo ni kiini macho na ujinga mtupu
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Elimu isiyogeuka kuwa maarifa ya kumtoa mtu point - kwenda + bado sio elimu, halafu zingatia na ujifunze kuwa sio kila anayesoma ama kwenda shule huelimika.Mimi huwa nashangaa sana unamkuta mtu ana elimu nzuri tu lakini unamkuta kwa waganga wa kienyeji anapiga ramli, nadhani elimu yetu ina mapungufu makubwa, elimu yetu haiwafanyi watu wetu kujiamini
Duh
Yale ni mambo ya imani ndugu, ndio maana kama huamini huwezi fanikiwa iwe tiba au bahati, unaweza ukawa na Elimu ila ukawa unasumbuliwa na mambo ya mizimu ambayo wengi kwa sasa yanawasibu ila hawajui kutokana na umjinimjini, kila binadamu ana asili hata kama huamini wewe mzazi wako anaweza akawa anaamini huko/mizimu, na kuisusa adhabu yake itakuja mpaka kwenuMimi huwa nashangaa sana unamkuta mtu ana elimu nzuri tu lakini unamkuta kwa waganga wa kienyeji anapiga ramli, nadhani elimu yetu ina mapungufu makubwa, elimu yetu haiwafanyi watu wetu kujiamini







Yale ni mambo ya imani ndugu, ndio maana kama huamini huwezi fanikiwa iwe tiba au bahati, unaweza ukawa na Elimu ila ukawa unasumbuliwa na mambo ya mizimu ambayo wengi kwa sasa yanawasibu ila hawajui kutokana na umjinimjini, kila binadamu ana asili hata kama huamini wewe mzazi wako anaweza akawa anaamini huko/mizimu, na kuisusa adhabu yake itakuja mpaka kwenu