Madalali wa ulozi

Madalali wa ulozi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,602
Reaction score
830,344
RIP Prof. Chachange S. Chachange andiko lako bora kabisa la MAKUWADI WA SOKO HURIA pengine lilichangia mwisho wako (nimewaza tu kwa sauti) Wameua mwili lakini sio maandishi! Maandishi ni kama roho isiyokufa! Hayafutiki.

Maisha hayana adabu hasa changamoto zinapokuwa nyingi kwenye upande wa kipato watu hutafuta kila jinsi ya kupata pesa!!! Kwa kutumia njia halali ama haramu.

Tunafahamu sekta ya uchawi na ushirikina vilivyo na nguvu katika jamii yetu (japo tunaiponda sana machoni pa watu) watu wa kaliba zote huenda huko kuanzia viongozi wa dini, viongozi wa kisiasa, wafanyabiashara wafanyakazi wasomi n.k.

Mahitaji ya nguvu za giza ni nakubwa kuliko tunavyodhani. Ni kupitia nguvu hiyo kuna watu wamejiongeza hawa wamejivika koti la udalali na ukuwadi lakini kwa style ya aina yake na wengi ni ndugu jamaa marafiki na watu wetu wa karibu.

Rafiki mwema nisikilize nikwambie, epuka mno shuhuda za watu wa jinsi hii namna alivyotatuliwa shida zake ana jamaa yake na MTAALAM fulani.

Wanajua kupamba kweli na kutoa assurance ya uhakika kabisa kuwa huyo mtu ni kiboko na kasaidia mpaka wazito fulani fulani.

Waepuke hawa ni watu wa kati wenye mawasiliano na makubaliano na hao WATAALAM! Kila akipeleka kichwa yeye ana percent yake hapo n life goes on.

Wengi wamepigwa sana kwa style hii kumbuka hili mganga wa kweli hakwambii toa laki tena in advance (kwa ajili ya vifaa)pesa unazotoa kule ni kiingilio cha kukubali kuingizwa kwenye mambo ya giza na si vinginevyo.

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Nyamisati na mikoko yule Prof fundi hatari alimnanga Ben hatari na la saba yangu hiyo buku ninayo kwa library.
 
Nyamisati na mikoko yule prof fundi hatari alimnanga Ben hatari na la saba yangu hiyo buku ninayo kwa library

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Mimi huwa nashangaa sana unamkuta mtu ana elimu nzuri tu lakini unamkuta kwa waganga wa kienyeji anapiga ramli, nadhani elimu yetu ina mapungufu makubwa, elimu yetu haiwafanyi watu wetu kujiamini.
 
Mimi huwa nashangaa sana unamkuta mtu ana elimu nzuri tu lakini unamkuta kwa waganga wa kienyeji anapiga ramli, nadhani elimu yetu ina mapungufu makubwa, elimu yetu haiwafanyi watu wetu kujiamini
Chapuo la madalali na matangazo yasiyokoma huku jamii ikiwa imeaminishwa pakubwa kwamba huko ndio kwenyewe.

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Chapuo la madalali na matangazo yasiyokoma huku jamii ikiwa imeaminishwa pakubwa kwamba huko ndio kwenyewe

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Nilishangaa sana kuwaona Mrema na Sizonje Mkolomije wakiwa kwa Babu wa Loliondo wakinywa zile dawa za kienyeji, toka hapo niliwadharau sana hao watu wawili.
 
Kweli aisee waelekezaji wamekuwa wengi kuliko waganga.

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
DSC_0110.JPG
mganga albino ambaye yuko kidigitali zaidi
Tawiree baba!

Picha kwa hisani ya shekidele blog
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Wapigadebe, kweli ni wengi sana, na Wateja wao wakubwa ni polisi na wanasiasa
Na kuna wakati hawa waganga wanajifanya hawataki pesa bali hukuelekeza pahala ukanunue vifaa . ...aisee kote huko ni kwao! Udalali uko kila kona

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Na kuna wakati hawa waganga wanajifanya hawataki pesa bali hukuelekeza pahala ukanunue vifaa . ...aisee kote huko ni kwao! Udalali uko kila kona

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Wanakuambia ukifanikiwa uje na hela hapa ili nizitambikie hapo ndipo wanapopiga hela yao ya kutakata
 
Na kuna wakati hawa waganga wanajifanya hawataki pesa bali hukuelekeza pahala ukanunue vifaa . ...aisee kote huko ni kwao! Udalali uko kila kona

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Hahahaa ndo hapo unaambiwa vifaa vinakua bei kuliko gharama za tiba...kaka mshana umetembea sna eeehh!!!!
 
Hahahaa ndo hapo unaambiwa vifaa vinakua bei kuliko gharama za tiba...kaka mshana umetembea sna eeehh!!!!
Nilikuwa najifunza

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Baba mwenye nyumba anaishi na mke wa kufikia. Huyu mama hajazaa na jamaa ila wamefunga ndoa na wana zaidi ya miaka 10 ya kuishi pamoja, Stori zinadai huyu mama anataka kurithi nyumba (kwa mawazo yangu yeye ana % yake hapa tayari) hivyo anawapukutisha watoto wa jamaa aliowakuta.

Mtoto mmoja ana uchizi, vikimpanda akipelekwa Muhimbili vinatulia, kwa kama miezi 2 amekua anaumwa juzi mumewe kampeleka kwa mganga, mganga akasema binti kalogwa sana na akampa dawa za kumuweka sawa.
Aogeshwe nazo kila saa saba usiku.

Jana nimechelewa kurudi kwenye mihangaiko yangu nakuta watu saa 7 wanaogeshana nje.

Kwa imani kama hizi hao madalali wataneemeka tu.
 
Mmh maskini sijui wamepigwa bei gani hapo na bado sijui watatakiwa kutoa bei gani

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom