du kweli kali hawa watu ni kuwa nao makini mie mwaka 2004 nilifanikiwa kumtapeli dalali mpaka leo akiniona anacheka sana
mkuu .... hebu funguka zaidi kuhusu jilo
Wengi wao ni matapeli, na mfumo huu wa kitapeli umelelewa na kukuzwa na serikali hi hii...kama sio udhaifu wa serikali ina maana mwenye nyumba angekua anatangaza mwenyewe nauza nyumba bei sh kadhaa...au napangisha sasa nchi hii nyumba zinafanywa kuwa siri na hapo dalali anapata mwanya wa kutapeli...
Ulimtapeli au alikutapeli.du kweli kali hawa watu ni kuwa nao makini mie mwaka 2004 nilifanikiwa kumtapeli dalali mpaka leo akiniona anacheka sana
du kweli kali hawa watu ni kuwa nao makini mie mwaka 2004 nilifanikiwa kumtapeli dalali mpaka leo akiniona anacheka sana
Chunga sana Ogopa dalali wa Sinza na Kinondoni . Hasa Juma Mhaya.
Kuna dalali mmoja sinza aliachiwa nyumba na mama mwenye nyumba ashughulikie kila kitu as yule mama yupo mkoan, sasa yule dalal alichofanya nyumba moja akawapangisha watu watatu tofauti, as kabla aliyelipia hajaamia akapokea na hela za wengine.. Halafu alivyokuwa mwehu wote akawapa mikataba na yeye kasaini kama agent wa mwenye nyumba.. Balaa likaja kwenye kuhamia kila mtu ana mkataba wa halal, na dalal kaingia mitini na kama million 10 hivi, as mama mwenye nyumba alimuingizia hela za mtu mmoja tu.. Na haijulikan zile hela ni za mpangaj gan alizopokea... Mpaka leo dalal hajaonekana
Wengi wao ni matapeli, na mfumo huu wa kitapeli umelelewa na kukuzwa na serikali hi hii...kama sio udhaifu wa serikali ina maana mwenye nyumba angekua anatangaza mwenyewe nauza nyumba bei sh kadhaa...au napangisha sasa nchi hii nyumba zinafanywa kuwa siri na hapo dalali anapata mwanya wa kutapeli...
yaani we na ujinga wako uibiwe halafu uilaumu serikali.ulitaka rais afanyeje kuhusu uzembe wako
yaani we na ujinga wako uibiwe halafu uilaumu serikali.ulitaka rais afanyeje kuhusu uzembe wako
nilimtapeli huyu bwana anaitwa j4 kule kigamboni acha tu huwa akiniona hoiUlimtapeli au alikutapeli.
Kama ulimtapeli ni vema utuelezee namna ulivyomwingiza mjini maana hawa huwa wanatapeli sio kutapeliwa.