Kimepimwa?kina hati?jaman mambo vipi?
nina kiwanja changu kipo mkuranga mbele za office za Halmashauri na kina ukubwa wa hekari moja plus sasa naomba kupata contact za madalali wa Mkuranga wanisaidie kuuza
Documents za aina gani ulizonazo mkuuHapana bado hakijapimwa ila document zote zipo na kuna baadhi ya mazao yamepandwa kwenye hilo shamba na liko barabarani kabisa...
Ni pm namba zako tafadhaliDocument zote za mauziano na Serikali ya Mtaa....
Nauza milion Tatu na laki Tano
mkuu kama hutajali naomba namba yako simu tuwasiliane
Sawa kiongozikama nitakuwa sijapata mteja sawa, nauza coz nina dharula kubwa
Naomba namba zako na picha... usubiri mtejaNauza milion Tatu na laki Tano