Madaktari watinga ikulu

Madaktari watinga ikulu

Tupe timu nzima, wasije wakanywa ghahawa ya ikulu ndiyo ikawa basi tena!!
 
Nawatakia kila la kheri, angalau akutane na madaktari na wala siyo wazee wa dsm
 
Mtawala tujuze ulimboka kasalimiana na jk au
 
Mkuu anawagombeza kama watoto ma doc wamekuwa wadogo kama tule tudawa wanakotupaga
 
Kama wassira akishiriki hayo mazungumzo hayatozaa matunda, yule mzee amechoka kimwili na kiakili lakini JK ndiye anamtegemea kwa ushauri.
 
Ndio wamekaribishwa hapa maongezi yanaanza na ******

Kila mtu anapapenda ikulu, CDM nao kiherehere chao wakaenda, na madaktari nao wamekwenda , haya na JF tujipange twende kwani hao wote wanafuata juice za ikulu

 
Back
Top Bottom