Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
kulikuwa na mabishano makali,kati ya madaktari watatu.akaanza daktari wa kichina akasema sisi tumemuwekea mkono mtoto ambae alizaliwa bila mkono na sasa ameshinda mashindano ya netbol.Akafuata mjerumani akasema sisi tumemuwezesha mtoto aliezaliwa bila miguu wala mikono na sasa ana medali tano za olympic.Mtanzania akawacheka kwa dharau akawaambia sisi tulimuwekea nazi mtoto aliezaliwa bila kichwa na sasa ni raisi