Madaktari wanavyowafanya wake zenu

bla blaaaaaaaaaa bshxxgxbjshsgssfsgsbvsbsgsgsvsvsvsbsbsbsbsbsb
 
Kuna viumbe wa ajabu humu!! Inashabikia ushenzi unaofanywa na madaktari wasiojitambua. Wewe Mudada mzima na akili zako unamtetea huyo anaewaingilia dada/mama zako, au nanyi wameshawatenda!!!!!!
 
Thanks cariha maana hii mada imenichanganya na najikuta siamini kama inawezekana daktari kutekeleza uzinzi ndani ya hospitali na mgonjwa
Ni ngumu Sana, Kama dr kampenda mtu huwa wanachukua contact na sio kufanya ndani ya hospital, wengi wanaolaumu ni wanaume na hawajui taratibu, wameskia story za vijiweni, imagine mfano hospital za serikali jinsi Zina misongamano ya wagonjwa hasa kina mama, dr anafanya saa ngapi.
 
Yeah wengi ni maneno ya mtaani ambayo hayana ukweli
 
Yeah wengi ni maneno ya mtaani ambayo hayana ukweli
Na wewe umeamini kuwa ni uongo [emoji3][emoji3] wanalika sana pigwa dawa za usingizi anapanda juu kwisha habari nasema haya kwa kuona sio kusikia, hospitali zenye utaratibu ni za huko kwenu hindu, sijui muhi2 nk nk njoo hospitali za kwetu huku
 
Na wewe umeamini kuwa ni uongo [emoji3][emoji3] wanalika sana pigwa dawa za usingizi anapanda juu kwisha habari nasema haya kwa kuona sio kusikia, hospitali zenye utaratibu ni za huko kwenu hindu, sijui muhi2 nk nk njoo hospitali za kwetu huku
Duuh, this is scaring
 
Nyie ndo mnaendekeza uharibifu huu. Kwanini usitaje hatua zikachukuliwa,mnafurahia kuendelea kuzalisha mashoga hapa Nchini?
 
Hizo sheria za kinyonyaji sana. Ukienda kwenye taasisi zenu ukiwa wa dini tofauti haupati huduma. Mnaanza kulazimishwa muende msikitini sijui wapi wakati zama tulizo nazo dini hazina kipaumbele tena.
Sheria za Waislamu ni solution
 
Madaktari ni wapenda ngono wote,,,

Kuna mwaka mwanangu alikuwa ana tatizo la mguu,,alichomwa sindano hospital ya Massana,

Baadae ile sindano ikataka kumletea matatizo awe mlemavu ,, tukashauriwa twende mwananyamara hospital aonane na daktari sijui wa viungo,, Kuna jina kitaalamu anaitwa,

Basi tukaenda,,yule daktari ikawa kila tukienda namlipa efu 30, japo ni bure huduma kwa watoto umri ule, ilikuwa kumpa moyo tu amuhudumiwe vizuri mtoto,

Kule kwenye chumba Cha iyo tiba akawa anaingia wife me nabakia nje kabisa ,namuoneaga huruma mtoto akilia,,

Basi yule fala akawa anamsumbua wife kila mara ,mara atake kumtekenya, wife akaniambia,,


Nilimfanyiaga kitu mbaya baadae yule mbwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulimfanyaje? Khaaaah
 
😂😂
 
Mkuu usemayo ni kweli kabisa,,

Madaktari wengi wa kiume wanawagonga wanawake sana tu.

Either kwa hiari Au kwa ulaghai.

--Umeshawahi kujiuliza daktari anachukuwa namba za simu za mkeo kwa sababu zipi?

-- Kama daktari ameshaona utupu wa mkeo kuna kipi cha mkeo kuzuia mbunye isiliwe na daktari?

Tuache kujifariji huku tunalilia tumboni.
 
Mkuu mbona wake za madaktari wao wanatafunwa na bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…