KIBOGOYO2010
Member
- Jan 25, 2012
- 5
- 12
Kutokana na maneno machafu yalitolewa na mchungaji huyo madaktari wamjibu na kumfundisha anthony lusekelo kuisoma biblia vizuri, kifungu cha maandiko matakatifu kinachompa daktari mamlaka ya juu.
hiki hapa
Kitabu: Biblia takatifu: Yoshua Bin Sira 38:1-15
Baadhi ya mistari inasomeka hivi:
38:1 Umheshimu daktari(tabibu), kwa kadiri ulivyo na haja nae, na kwa heshima iliyo haki yake
38:2 Kwa maana ni kutoka kwake aliye juu, daktari(tabibu) alivyoupata ufundi wake, hata na kwa mfalme atapokea ada (consultation fee)
38:3 Maarifa yake daktari(tabibu) yatamwinua kichwa chake,naye atasimama ni mkuu katika wakuu
38:6 Nae(Mungu) amewapa wanadamu maarifa, ili atukuzwe mwenyewe kwa ajili ya miujiza yake
Pia Kile Kiapo cha udaktari kinasomeka hivi:
"Wakati nikikishika kiapo hiki, na ijaliwe kwangu kuyafurahia maisha na kazi yangu. Jamii (serikali) iniheshimu na kunikumbuka(kunitukuza) , nikiwa hai au nimekufa" Mwisho wa kunukuu
Hivyo tuangalie fani hii imelindwa katika nyanja zote. Asije mtu akatudhulumu kwa namna yoyote ile hasa kwa kutumia kiapo chetu kama wafanyavyo sasa.
Lusekelo tapeli tu!
Kutokana na maneno machafu yalitolewa na mchungaji huyo madaktari wamjibu na kumfundisha anthony lusekelo kuisoma biblia vizuri, kifungu cha maandiko matakatifu kinachompa daktari mamlaka ya juu.
hiki hapa
Kitabu: Biblia takatifu: Yoshua Bin Sira 38:1-15
Baadhi ya mistari inasomeka hivi:
38:1 [FONT=comic sans ms,sans-serif]Umheshimu daktari(tabibu), kwa kadiri ulivyo na haja nae, [FONT=comic sans ms,sans-serif]na kwa heshima iliyo haki yake[/FONT][/FONT]
38:2 Kwa maana ni kutoka kwake aliye juu, daktari(tabibu) alivyoupata ufundi wake, [FONT=comic sans ms,sans-serif]hata na kwa mfalme atapokea ada (consultation fee)[/FONT]
38:3 Maarifa yake daktari(tabibu) yatamwinua kichwa chake,[FONT=comic sans ms,sans-serif]naye atasimama ni mkuu katika wakuu[/FONT]
38:6 Nae(Mungu) amewapa wanadamu maarifa, ili atukuzwe mwenyewe kwa ajili ya miujiza yake
Pia Kile Kiapo cha udaktari kinasomeka hivi:
[FONT=comic sans ms,sans-serif]"Wakati nikikishika kiapo hiki, na ijaliwe kwangu kuyafurahia maisha na kazi yangu. Jamii (serikali) iniheshimu na kunikumbuka(kunitukuza) , nikiwa hai au nimekufa" Mwisho wa kunukuu[/FONT]
Hivyo tuangalie fani hii imelindwa katika nyanja zote. Asije mtu akatudhulumu kwa namna yoyote ile hasa kwa kutumia kiapo chetu kama wafanyavyo sasa.
Mbona hatuwalaumu hawa madaktari? Tusiwe fuata upepo, tuangalie nani alikuwa na nafasi nzuri ya kuokoa maafa kati ya serikali na madaktari. Ukitaka kujua kosa la madaktari, tafakari hili:
1. Serikali isitimize wajibu wake na madaktari wasitimize wajibu wao - kuna maafa
2. Serikali isitimize wajibu wake ila madaktari wakatimiza wajibu wao - hakuna maafa
3. Serikali itimize wajibu wake ila madaktari wasitimize wajibu wao - kuna maafa
4. Serikali itimize wajibu wake na madaktari wakatimiza wajibu wao - hakuna maafa
Nilitamani kama kila mtu angekuwa na knowledge ya truth tables za logic circuit humu, ningeyachorea table maelezo yangu. Utaona kwamba maafa yatatokea pale ambapo madaktari hawajatimiza wajibu wao regardless uwajibikaji wa serikali. Kwa hiyo madaktari ndio waliokuwa na uwezo wa kuepusha vifo visivyo vya lazima, na si serikali. Mimi nitaendelea kuwalaumu madaktari
mkuu hapo namba mbili natofautiana na wewe kwa kiwango kikubwa sana.labda nikuulize hivi unadhani daktari mwenye njaa,mwenye uchovu wa kusimama kwenye daladala,mwenye mawazo juu ya afya yake,mwenye kufikiria watoto wake watasoma vipi na anayefanya kazi katika mazingira magumu yasio na dawa au vifaa tiba ............ataweza kuzuia maafa?common sense au logic huwa haziapply kwenye mambo ya afya mkuu.Mbona hatuwalaumu hawa madaktari? Tusiwe fuata upepo, tuangalie nani alikuwa na nafasi nzuri ya kuokoa maafa kati ya serikali na madaktari. Ukitaka kujua kosa la madaktari, tafakari hili:
1. Serikali isitimize wajibu wake na madaktari wasitimize wajibu wao - kuna maafa
2. Serikali isitimize wajibu wake ila madaktari wakatimiza wajibu wao - hakuna maafa
3. Serikali itimize wajibu wake ila madaktari wasitimize wajibu wao - kuna maafa
4. Serikali itimize wajibu wake na madaktari wakatimiza wajibu wao - hakuna maafa
Nilitamani kama kila mtu angekuwa na knowledge ya truth tables za logic circuit humu, ningeyachorea table maelezo yangu. Utaona kwamba maafa yatatokea pale ambapo madaktari hawajatimiza wajibu wao regardless uwajibikaji wa serikali. Kwa hiyo madaktari ndio waliokuwa na uwezo wa kuepusha vifo visivyo vya lazima, na si serikali. Mimi nitaendelea kuwalaumu madaktari
Pamoja na uzuri wa quotations hizo zinazowapa utukufu na kweli mnastahiri kuheshimiwa kwa kazi yenu, hakuna kifungu ambacho kinasema unaponyimwa ujira wako ufanye nini. Sidhani utatuonyesha kuwa ukinyimwa ujira UGOME na UUE kwa kutowatibu wagonjwa. Hapo kuna tatizo, kweli mnastahili kulipwa ujira mzuri, kazi yenu ni ngumu na inahitaji umakini mkubwa. Nadhani wapendwa kuanzia sasa mpange kama msipopewa ujira mfanye nini, but at the same time your major concern should be to preserve life. Then you will win muder case siku ya hukumu
mkuu hapo namba mbili natofautiana na wewe kwa kiwango kikubwa sana.labda nikuulize hivi unadhani daktari mwenye njaa,mwenye uchovu wa kusimama kwenye daladala,mwenye mawazo juu ya afya yake,mwenye kufikiria watoto wake watasoma vipi na anayefanya kazi katika mazingira magumu yasio na dawa au vifaa tiba ............ataweza kuzuia maisha?common sense au logic huwa haziapply kwenye mambo ya afya mkuu.
pia naweza kusema madaktari walitimiza wajibu wao kwa kusema hakuna kufanya kazi tukiwa na hali au mazingira mabovu!!!yet watu wamepoteza maisha.