Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

Porojo hizi sasa zinakera. Ndugu wengine tunafanyakazi kwenye mojawapo ya balozi ulizotaja. Acha uongo, si tabia nzuri!
hata mimi nafanya mojawapo ya balozi hapo juu! NI KWELI! wewe ndio uache uongo na uzandiki! karibuni dr's we are waiting for u!
 
Bora waondoke tu watuondolee kiwingu watakbaki wale wenye moyo wataendelea kupiga kazi.
 
Tunawatakia safari njema wafike salama kuanza kazi katika nchi nyingine. Hii itaepusha mgogoro wao na serikali
 
Ni kiburi tu cha wanasiasa; wanafikiria udaktari ni "kama fani nyingine" tu. Gharama ya madaktari wetu kuondoka ni kurudisha huduma ya afya kwa miaka kadhaa nyuma. Lakini kwa vile tatizo lenyewe halijashughulikiwa bado kutakuwa na mgongano wa madaktari na serikali in the future. Hii yote ni matokeo ya sera zilizoshindwa za CCM.
HESHIMA mbele kwako,

Naomba nihitilafiane nawe kidogo. Mimi naona bora nayeataka kuondoka aende tu.Itakuwa fursa nzuri kwake na familia yake ikiwa atapata green pastures kwingine.

Naamini no one is indispensable,ngoja tu-create nafasi kwa wengine wanaomaliza shule. Mwanakijiji nimeongea na baadhi ya madaktari ambao wengi ni below 35yrs na most of them hawajui hata maadili ya kazi yao.

Mmmoja aliniambia kuwa akipata nafasi katiak kulipiza aliyotendewa Ulimboka atahakikishaya kuwa watu kumi watapata umauti kupitia mikono yake.Huyu ni daktari aliyekamilika na aliyemaliza internship na kufanya kazi miaka miwili.
 
NATAMANI MADAKTARI HAO WAZUILIWE KUTOKA NJE YA NCHI, kuna Watanzania wengi wanaokufa kwa sababu ya kukosa matibabu...hii ni kwa sababu ya UJEURI wa madaktari waliosomeshwa kwa gharama za Tanzania.
Kwani uliambiwa hawarudishi au huelewi nini maana ya mkopo?
 
Yote haya yakiendeea, watu wanakufa kwa kukosa huduma na ingekuwa na viongozi wetu wanatibiwa hapa nchini huenda uamuzi ungekuwa tofauti. Wagombanapo fahari ni nyasi zinazoumia aka wapiga kura.

Huku aliyemtenda Dr. Ulimboka ni kizungumkuti, huku madaktari wanahama. Na kenya wagonjwa wanawafurahi kwani kwa mara ya kwanza katika maisha yao wamepata madaktari wanaoongea kiswahili na kwa upole.

Tunaelekea wapi?
 
waache waende maana tanzania kinachofanyika ni kuwasomesha na wakihitimu wanafukuza........mdogo wangu alishafika rwanda na tayari kazi alishapata ni miongoni mwa wale waliotimuliwa mbeya ....

MKUU HILI SUALA SI LA KUFURAHIA SANA NI HATARI KWA NCHI YETU HAIJAWAI TOKEA TOKA NCHI IMEPATA UHURU,
JUZIJUZI RWANDA WAMEPELEKA WATU WAKE KUSOMA NJE, ITAFIKA KIPINDI VIONGOZI WETU WATAKWENDA KUTIBIWA RWANDA. HII NI AIBU KUBWA MKUU TUSALI NA KUOMBA SANA MUNGU ATUWEZESHE SI KITU CHA KUSHANGILIA SANA!s
 
ni kiburi tu cha wanasiasa; wanafikiria udaktari ni "kama fani nyingine" tu. Gharama ya madaktari wetu kuondoka ni kurudisha huduma ya afya kwa miaka kadhaa nyuma. Lakini kwa vile tatizo lenyewe halijashughulikiwa bado kutakuwa na mgongano wa madaktari na serikali in the future. Hii yote ni matokeo ya sera zilizoshindwa za ccm.

wamaleta madk. Kutoka china, uswisi na cuba. Hata venezuela kwa hugos, ccm hawatishwi. Nazipongeza nchi hizo kwa kuthamini taaluma za watu. Itawalipa u soon
 
Bora waende wakafie mbele sasa kama walikuwa na hiyo option kwanini walikuwa wanagoma? si wangeacha kazi kimya kimya wakaenda huko kwenye mafano manono?

Napata shida sana kutambua wewe ni mtu wa namna gani, kwani comments zako humu hazina maslahi kwa nchi yetu. Pole sana kwa kuendekeza njaa na chuki, na kushindwa kufumbua macho ili uone yanayoendelea Tanzania.
 
mkuu hili suala si la kufurahia sana ni hatari kwa nchi yetu haijawai tokea toka nchi imepata uhuru,
juzijuzi rwanda wamepeleka watu wake kusoma nje, itafika kipindi viongozi wetu watakwenda kutibiwa rwanda. Hii ni aibu kubwa mkuu tusali na kuomba sana mungu atuwezeshe si kitu cha kushangilia sana!s

watarudi nchini kwa kura yako kuichagua chadema, iondoe uozo wa ccm katika sekta za mapato na baadaye waboreshe mazingira ya kazi. Kama nchi haiwathamini wewe unataka wao waithamini nchi yao?
 
Dar Hongereni madaktari japokua tunapata pigo kubwa ila acha serikali ipate displine
 
Balozi za nchi hizo tajwa zimetoa ofa nono kwa madoctor woote waliofutiwa lesseni na wizara ya afya na TZ kwa ngazi zoote kuanzia seniors hadi intern, Intern wataandikishwa kama intern pindi wakifika kwenye nchi husika chini ya uangalizi wa Senior Doctors huku wakipewa mishahara na marupurupu yakuwatosha na wakimaliza shule wanapewa vyeti na lesseni za udoctor wa nchi walipo. wale masenior ambao wamenyangánywa lesseni wao wakifika wanaandikishwa kwenye chama cha madoctors wa nchi husika na kupewa lesseni mara moja na kupangiwa kazi ikiambatana na haki zoote wanazostahili
Balozi za nchi hizi zinawaomba wadocto woote wajiandikishe tayari kuajiriwa kwenye nchi watakazo kati ya hizo tajwa.
haya sasa kwa mara ingine tena TZ inaelekea kupoteza Brain zake kwa kile kinachoitwa mgomo ili hali walipa kodi wanateseka kwa kukosa watabibu.

Masini nchi yangu itatuchukua muda gani kuwapata madoctor kama hawa tena kama kweli wakiitikia mwito wa nchi hizi na wakaondoka.....?

Source: Raia Mwema Leo 18/07/2012 page 3

mkuu MKL, hali hii kiuzalendo inatia uchungu sana hasa ukitilia maanani watu wanatoil kwa muda mrefu darasani halafu serikali inakuja na mambo kama haya. kifupi mimi nasema waache waende wakatafute green pasture. serikali sikivu itajua wapi itapata madaktari km irani au cuba.
 
Hawa madakatari wanachekesha sana kwa hiyo walikuwa wanafanya mgomo makusudi ili watu wafe...nani kawuliza nyie nendeni.
 
Mbona wengi tu walishasepa kabla hata ya mgomo na hamkuandika? nyie semeni tu kwa vinywa vipana kuwa mna malengo yenu ya kisiasa na hawa madr bila kujijua walitumika kama chambo. Now i even question their intelligence.
 
uzushi wa hali ya juu. Madaktar ni sawa na mfa maji haishi kutapatapa, mgomo umeisha huku wao wakiwa wamepoteza, wameaibika, wamedhalilika. Tuliwashauri wasitumiwe kisiasa hawakusikia.

Wewe ndiyo uache kutumika.Hivi unafarahi sana pale unapoenda hospitali na kupewa lundo la dawa ili hali hujapimwa kwa ukosefu wa vifaa hospitalini?Ki roho safi,kama wamepata nafasi ya kwenda huko,basi waende tu,maana sisi watanzania hatuoni umuhimu wao,sisi tunawataka akaina babu wa loliondo.Hiyo ndiyo stahili yetu
 
Back
Top Bottom