Madaktari Waamua Kutangaza Mgomo Rasmi Kuanzia Kesho tarehe 24/01/2012


Mkuu ongezea na kwa Mh Mwakyembe hakuna aliyekufa Kyela kwa kukosa huduma ya mbunge wao kwa muda mrefu.
 
acha pumba wewe,,,umeng`ang`ania kodi....kodi...kodi.....hakuna mtanzania asiyelipa kodi,,, huo mshahara daktari hapati bure hata kama ni kodi yako analipwa kutokana na cheti cha elimu yake na kazi aliyofanya hapewi zawadi ya bure... Na yeye analipa kodi tena yenye risiti kila mwezi....... Hakuna aliyeletwa duniani kuja kukuhangaikia wewe bila malipo ya stahili yake.......kumwambia mtu eti sababu alichagua kazi fulani ndo aishi maisha ya chini si jibu la kuondoa tatizo ni ujinga wa ufupi wa mawazo,... Hakuna anayetaka kutajirika kupitia mshahara,,,, watu tunataka mazingira mazuri ya kazi,, na hata huo mshahara uongezwe kiasi kwamba mtu apate mahitaji yake.......
 
Nawashauri madaktari watimkie Kigali au kama vipi hapo Juba bora ukalipuliwe na mabomu ieleweke tu, li nchi gani hili lisilothamini proffession za watu??
 
kada zingine za afya ni waoga kupindukia sababu ya idadi yao ndogo..... Kama wewe ni kada wa afya bila kigwangala na wenzake wa inten kugoma we usingekuwa unalipwa huo msahara wako wa sasa...... chunga domo lako kama si mkono wako. ...Walikimbia kazi baada ya kuona ufirauni unaofanyika na waliobaki ni kwamba wamekosa pa kwenda.....
 
Ni matumaini yangu kuwa Serikali imesikia na itafuatilia hilo jambo la sivyo kitakachotokea ni ............
 
hebu eleza ni mazungumzo yapi yaliwahi kuleta suluhu ya shida za wafanyakazi wa umma tanzania bila harakati kama hizi?........
 
Kieleweke at the cost of lives of innocent Tanzanians?


Ninyi viongozi vipofu wa Serikali ya JK, Watanzania mnawaona innocent, mkiwa mnatetea uharamia wenu wa kuwadhulumu wengine haki yao; siyo? Mbona hamuwahurumii hao Watanzania innocent, mnapotetea posho nono za Wabunge? Mbona hamuwahurumii Watanzania innocent, mnapowapandishia bei ya umeme kwa 40%, na kuwaletea maisha magumu, badala ya maisha bora? Wanafiki wakubwa ninyi! Madaktari, msisikilize upupu huu, kazeni uzi! Hii, ni Golden chance ya kuzibua macho yao!
 
aisee anaetusomesha bure nani?sio wote tumesomeshwa na serikali,.mimi nina deni loan board la kama 40 million ntalilipaje?watoto wangu watapewa msosi na serikali?watasomeshwa international school na serikali?maji,umeme,chakula na hela ya pango napewa bure na serikali?haiwezekani ufanye call ambayo ni equivalent na overtime for 36 hours,niwazalishe kwa operation wamama sio chini ya kumi ndani ya muda huo,katika hizo process nilowe damu,nijichome na sindano halafu unipe sh.elfu kumi wakati wanaolala bungeni wanalipwa laki 2.
 
Si kila jambo usalama wa taifa watajwe,jamani!kwani hli linawahusu wao?mbona jambo linaloweza kupatiwa ufumbuz fast
 
inferiority complex.....iumeridhika na unachwolipa?kinaendana na elimu yako?au umekasirika kwakuwa ukuhusishwa kwenye mkutano?
 

same to wafanyakaz wa NMB,nao walipogoma walifanikiwa
 
tuache bla bla nyingi tupeni ripoti kwa wenye nazo kuna mgomo? Mama watoto anaelekea hosp sasa hivi kuchek afya na yeye ndio atanisaidia kujua nini kinaendelea!
 
Madhara ya serikali legelege ndiyo hii imeonekana wazi.

Ngoja sasa ndg zetu waliolazwa mahosptalini wakose huduma hata ya drip hala wizara husika ijisikie vizuri!

Sekta lengwa ni Wajinga wakubwa sana!
Unataka kusema sekta ya afya in wajinga?
 
Madaktari wametumia wisdom and tolerance of highest magnitude... They started negotiation long ago and the ministry has been ignoring health profesionals
kauli ya uongo ya waziri kuhusu Munda aw Kozi ya udaktari
majbu ya Dharau from every angle of government officials to any professional including university students
ignorance to the impact of health care professionals
lavish life of people like blandina while fighting for about 100,000 dollars to a big group doctors

We canT be happy kwa mgomo but jokes aside.... It is too much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…