Madaktari wa Mwakyembe kuamua!

Mkuu Janson, unaonaje ukijadili hoja badala ya kutukana?!, kila mtu anayejibidisha kufikiri sasa anaweza kuona who was behind richmond, sidhani kama ni Lowasa. I can see it in your eyes kuwa umetumwa kama walivyotumwa akina Mwakyembe kupotosha ukweli kwa maslah ya urais- wewe hujaliona hilo?!

Lowasa amewaambia hao waliokutuma kuwa hakuhusika na alishauri mkataba wa Richmond ufutwe na kama unatumia your upstairs vizuri utakuwa umeelewa kuwa pendekezo lake halikuwa-honoured, bado tu unasisitiza kuwa alikuibia?! Alikuibia nini?!, keep on weiling.
wewe ni kibaraka wa edo. huwezi ukawa unatetea ujinga kiasi hicho . yani unataka kuhalalisha wizi alioufanya edo? hatuwezi kukubaliana na wewe katika ujinga huu unaotueleza . watanzania wanaelewa pumba na mchele ni upi. usiwafanye wa tz ni wajinga kama wewe kibaraka wa edo. endelea kukubali kushikiwa akili.
 
Mwakyembe hata akirudi Hawezi kuwa na afya nzuri kama aliyokuwa nayo Mwanzoni kabla ya Hiyo wanayosema sumu aliyopewa

Meaning kwamba utendaji wake Utapungua sana kwani atakuwa anatakiwa kupata muda mwingi wa Kupumzika

Kifupi ni kwamba .........Huyu mpiganaji Kushnei/ Chali/ Kwishaaaaaa habari yake

Wamefanikiwa kumuua huyu Mpiganaji.

Mungu yupo watakiona cha Moto hao wote walifanya huyo Udhalimu
 
Ndiyo, nchi ililipuka, but, in what direction?; FYI, kuna wengi walishangazwa na kusikitishwa na kitendo cha kamati kuleta taarifa ya kupika, FYI, swala la Richmond wabunge wengi walikuwa wanajua ukweli wake ambao ni tofauti na kilichoelezwa na taarifa ya Mwakyembe, so, you better read btn the lines.

aliyemtumia Mwakyembe kuzungumza uongo ndiyo huyuhuyu ambaye sasa hamuhitaji Mwakyembe kwenye jukwaa la siasa. Ukweli uko wazi lakini cha kushangaza ni kuwa bado hata GT wanadanganya jamii.

Emancipate yourself from mental slavery, non but ourself can free our minds, have no fear for atomic energy cos non of them can stop the time.................................how long shall they kill our prophets while we stand aside and look?. Wont you help to sing, the songs of freedon, its all i ever want, redemption song.

Hayo ni maneno ya wimbo wa BOB MARLEY, alafu ooh! ndumu mbaya. GAMA siku nyingine ukitumia maneno ya mtu, umtambue! Nikuambie, wengine sarakasi hazituvutii kabisaaa! kikundi cha gynastic kiitwacho ccm ni hatari kwa tanganyika. ni shuruti kife.
 
Gazeti la mwananchi la leo nimeona kichwa cha habari kisemacho : Wiki muhimu ya Mwakyembe... Sijapata nafasi ya kusoma kilichomo kwenye habari kamili!

Mkuu ungenunua ukaangalia kilichoandikwa nadhani tungepata update nzuri
 
Mkuu Janson, unaonaje ukijadili hoja badala ya kutukana?!, kila mtu anayejibidisha kufikiri sasa anaweza kuona who was behind richmond, sidhani kama ni Lowasa. I can see it in your eyes kuwa umetumwa kama walivyotumwa akina Mwakyembe kupotosha ukweli kwa maslah ya urais- wewe hujaliona hilo?!,

Lowasa amewaambia hao waliokutuma kuwa hakuhusika na alishauri mkataba wa Richmond ufutwe na kama unatumia your upstairs vizuri utakuwa umeelewa kuwa pendekezo lake halikuwa-honoured, bado tu unasisitiza kuwa alikuibia?! Alikuibia nini?!, keep on weiling.
Gama, wewe na lowasa msitufanye sisi hamnazo, pendekezo la kuvunja mkataba aliouasisi halimfanyi lowasa kuwa sahihi.

Kukataliwa kwa hiyo proposal kulisababishwa na kiapo cha utii kuulinda mkataba alichokula jk na baraza lake la mawaziri kwa rostam! kwa hiyo alichofanya jk ni kumkumbusha ushiriki wake kwenye hilo dili! ndiyo maana alijiuzulu peke yake kwa manufaa yatokanayo na syndicate ili kutopunguza nguvu ya utetezi wa hiyo syndicate katika vyombo vya maamuzi. lowasa hafai, hafai nasema hafaii!
 
Mkuu toa taarifa kamili! tunahitaji kujua hali ya Dr. ni moja ya watu waliowezesha mabadiliko makubwa nchini kutokana na kazi zao, najua wengi hawaamini jinsi nchi ilivyolipuka baada ya EL kujiuzuru.
maa

alichofanya mwakyembe ni kama kumpiga nyoka mkiani atajeruhiwa atarudi kukuuma alitakiwa apige kwenye kichwa kumaliza kabisa, kama alivyosema anajua mengine mengi alitakiwa amalizie yote anayojua maana hata aliyosema machache na mengine kuficha bado adui anamtafuta amuangamize
 
Tuendelee kumwombea ................nothing is impossible with god
 
kupewa uwaziri na kuukubali lilikua kosa la jinai,yeye hakujiuliza kulikoni selelii,kimaro wamefukuzwa ubunge kisa mkapa na kiwira yake!sendeka,kilango na sitta hawana nguvu tena
 
Imani tuuuuu! Kisichowezekana kwa Binadamu Mungu anaweza. Sala zetu Dokta na Mombi yetu juu yako hakika vitamgusa Muumba wako na Utapona. Ugua POLE dokta.
 
yule jamaa bado anaumwa sana....msidanganywe watz....yule anaumwa.....hali yake bado haijatengemaa kabisa.....
 
Mwakyembe hata akirudi Hawezi kuwa na afya nzuri kama aliyokuwa nayo Mwanzoni kabla ya Hiyo wanayosema sumu aliyopewa

Meaning kwamba utendaji wake Utapungua sana kwani atakuwa anatakiwa kupata muda mwingi wa Kupumzika

Kifupi ni kwamba .........Huyu mpiganaji Kushnei/ Chali/ Kwishaaaaaa habari yake

Wamefanikiwa kumuua huyu Mpiganaji.

Mungu yupo watakiona cha Moto hao wote walifanya huyo Udhalimu

unawajua? utawafanya nini?
 
Na aliyekataa usivunjwe/kuuvunja wakati alikuwa na mamlaka hayo umemuweka wapi?, fafanua zaidi ili nisikudhanie kuwa unamtetea.

Back
Top Bottom