Mama mkwe wangu alilazwa Muhimbili kwa wiki moja, lakini jana nililazimika kumtoa kutokana na kile nilichokishuhudia pale. Pamoja na vituko vingi tu tulivyoviona kutoka kwa manesi wa ward ya Mwaisela, lakini nisingependa kuzungumzia hayo kwa kuwa si mageni masikioni mwa wengi. Tulimpeleka mgonjwa wetu kufanyiwa uchunguzi zaidi kutokana na kuwa na complication nyingi nadhani ni kutokana na uzee (mkwe wangu ana miaka 70 hivi sasa)
Tulipofika pale alichukuliwa vipimo vyote ikiwapo x-ray, tatizo lilikuwa ni pale madaktari wanapopita round kuona wagonjwa. kwanza walikuwa wamemgeuza mama mkwe wangu kama vile ni darasa la kufundishia wanafunzi, kila daktari alikuwa anafika na wanafunzi wake na kufungua darasa. Cha kushangaza walikuwa wameyakalia majibu ya mgonjwa wetu huku wakiendelea kumuweka pale kama mtu wa kufundishia wanafunzi.
Sikatai mgonjwa kutumika kufundishia wanafunzi, hawa ni ndio madaktari wetu wa kesho wakajifunzie wapi. Lakini pale dakatari anapowaambia wanafunzi wake kwamba huyu mgonjwa aliyeko mbele yao yuko katika TERMINAL STAGE huku wanaomuuguza wakiwa karibu na hata mgonjwa mwenyewe akisikia, huu ni uuaji. Daktari huyo aliendelea kuwaonyesha wanafunzi wake dalili zinazothibitisha kuwa mgonjwa wetu yuko kwenye terminal stage.
Kitu ambacho madaktari wale walikuwa hawakijui ni kwamba mke wangu pamoja na dada yake ni wauguzi by professional na wanazijua hizo terminology vizuri sana. Sasa iweje waropoke hivyo bila kuangalia walioko karibu. kitendo hicho kilifanyika muda wa kuona wagonjwa na nadhani ndio walikuwa wanamalizia round.
Tumelazimika kumchukua mgonjwa wetu kwa ajili ya kuangalia ustaaarabu mwingine.
Tatizo sio kuwashtaki mkuu. Tatizo ni unawashtakia kwa nani???? Kuna sekta nyingi sana Tanzania zinatakiwa kuvunjwa na kuundwa upya ikiwepo hii ya Afya. Hao Madaktari kutokuwa weledi ni tatizo kubwa sana. Nilishawahi kumpeleka Wife kwa Daktari mmoja wa wanawake(Gyno) kwa check up ya kawaida kwa akina mama. Baada ya kuingia kwa Dr. Akaanza kueleza matatizo ya mgonjwa aliyetoka kumuona,yaani aliyekuwa mbele kwenye foleni kabla ya Wife. Alikuwa anaeleza vitu personal sana mpaka Wife aliponielezea nilichanganyikiwa. Halafu cha kushangaza Huyo Dr. Alikuwa ni mwanamke. Kwa hiyo Ina maana hata Issue za Mke wangu alimuelezea huyo anayefuata. Ethics Zero kabisa.Mie ningewashtaki.....haiwezekani wamfanyie hivyo mama wa watu.
Poleni sana mkuu.
Kimaadili, katika hospitali ambayo kuna chuo cha kufundisha madaktari inatakiwa mgonjwa wakati analazwa apewe form ya kujaza kama anakubali au kukataa kutumika katika kufundishia madaktari. Je, fomu hii mlipewa?
Kuhusu daktari kutamka lugha hiyo mbele ya mgonjwa inasikitisha, lakini turudi nyuma kidogo. Je, mgonjwa alipewa taarifa kuwa yuko kwenye terminal stage kabla ya tukio hilo? if yes, je aliipokeaje taarifa hiyo? Iwapo mawasiliano kati ya mgonjwa na daktari yamefanikiwa, mgonjwa akajua hali yake na kuikubali, kunakuwa hakuna kosa kuwaambia wanafunzi mbele yake. Tatizo linakuja pale mgonjwa anapojua kwa maa ya kwanza kuwa yuko kwenye terminal stage kupitia maneno ya daktari akiongea na wanafunzi wake!!!
Pole sana mtambuzi,lakini tatizo letu wabongo tunapenda kudanganywa mgonjwa akiambiwa ukweli hatupendi.Pili muhimbili ni hospitali ya kufundishia,kwahiyo huwezi kwepa mgonjwa wako kutumika kama kitabu.Mama mkwe wangu alilazwa Muhimbili kwa wiki moja, lakini jana nililazimika kumtoa kutokana na kile nilichokishuhudia pale. Pamoja na vituko vingi tu tulivyoviona kutoka kwa manesi wa ward ya Mwaisela, lakini nisingependa kuzungumzia hayo kwa kuwa si mageni masikioni mwa wengi. Tulimpeleka mgonjwa wetu kufanyiwa uchunguzi zaidi kutokana na kuwa na complication nyingi nadhani ni kutokana na uzee (mkwe wangu ana miaka 70 hivi sasa)
Tulipofika pale alichukuliwa vipimo vyote ikiwapo x-ray, tatizo lilikuwa ni pale madaktari wanapopita round kuona wagonjwa. kwanza walikuwa wamemgeuza mama mkwe wangu kama vile ni darasa la kufundishia wanafunzi, kila daktari alikuwa anafika na wanafunzi wake na kufungua darasa. Cha kushangaza walikuwa wameyakalia majibu ya mgonjwa wetu huku wakiendelea kumuweka pale kama mtu wa kufundishia wanafunzi.
Sikatai mgonjwa kutumika kufundishia wanafunzi, hawa ni ndio madaktari wetu wa kesho wakajifunzie wapi. Lakini pale dakatari anapowaambia wanafunzi wake kwamba huyu mgonjwa aliyeko mbele yao yuko katika TERMINAL STAGE huku wanaomuuguza wakiwa karibu na hata mgonjwa mwenyewe akisikia, huu ni uuaji. Daktari huyo aliendelea kuwaonyesha wanafunzi wake dalili zinazothibitisha kuwa mgonjwa wetu yuko kwenye terminal stage.
Kitu ambacho madaktari wale walikuwa hawakijui ni kwamba mke wangu pamoja na dada yake ni wauguzi by professional na wanazijua hizo terminology vizuri sana. Sasa iweje waropoke hivyo bila kuangalia walioko karibu. kitendo hicho kilifanyika muda wa kuona wagonjwa na nadhani ndio walikuwa wanamalizia round.
Tumelazimika kumchukua mgonjwa wetu kwa ajili ya kuangalia ustaaarabu mwingine.
Mkuu hakuna form yoyote tuliyojaza mgonjwa wetu kutumika kwa ajili ya kufundishia, lakini pia hakuwahi kumbiwa kwamba yuko kwenye terminal stage, kwa hiyo yeye na wanaye wamesikia taarifa hizo wakati daktari akiwafundisha wanafunzi wake... nilipofika niliwakuta nje wakilia na baada ya kuwadadisi wakaniambia kwamba daktari alikuwa anawaambia wanafunzi wake kwamba mama yuko kwenye terminal stage wakati anawafundisha na haikuwa ni taarifa kwao bali ilikuwa ni sehemu ya darasa huku akiwaonyesha dalili zinazothibitisha kwamba mgonjwa wetu yuko kwenye hali hiyo, kitu ambacho kiliwashtua sana.
Hata hivyo tumemrudisha mama nyumbani na hali yake inaonyesha kuimarika tangu jana jioni na leo asubihi amefanyiwa mazoezi ya kunyanyuka na kutembea na amemudu........
hapo kweli walikosea, kimaadili walihitaji consent yake before kumgeuza lecture. unaweza kuwashtaki lakini si unajua uwajibikaji hapa TZ ni 0, piga moyo konde na Mungu atasaidia. pole kwa kuuguliwaMkuu hakuna form yoyote tuliyojaza mgonjwa wetu kutumika kwa ajili ya kufundishia, lakini pia hakuwahi kumbiwa kwamba yuko kwenye terminal stage, kwa hiyo yeye na wanaye wamesikia taarifa hizo wakati daktari akiwafundisha wanafunzi wake... nilipofika niliwakuta nje wakilia na baada ya kuwadadisi wakaniambia kwamba daktari alikuwa anawaambia wanafunzi wake kwamba mama yuko kwenye terminal stage wakati anawafundisha na haikuwa ni taarifa kwao bali ilikuwa ni sehemu ya darasa huku akiwaonyesha dalili zinazothibitisha kwamba mgonjwa wetu yuko kwenye hali hiyo, kitu ambacho kiliwashtua sana.