ntawi hussein
Member
- Apr 8, 2018
- 35
- 15
Ni surgery haitoshi ukishafanyiwaUnavaa au unafanyiwa surgery wanayapandikiza
Bado sijaelewa,unaweza kunielezea zaidi mana nahitaji kufahamu zaidi kabla sijafanyiwaNi surgery haitoshi ukishafanyiwa
Dentist anakupima size ya crown yako, unang’ata kitu kama chewing gum. Crown unapokuwa tayari unasafishwa kwanza kuondoa bacteria, unavalishwa crown.Bado sijaelewa,unaweza kunielezea zaidi mana nahitaji kufahamu zaidi kabla sijafanyiwa
Tuwekeeni jukwaani wote tuelimike huu uchoyo wa inbox huuCrown ni sawa na kusema Kofia....
Jino ambalo ni bovu na ambalo halina maumivu huchongwa na kutengenezewa jino ambalo linafanana na meno mengine,
Na kama lina maumivu huuliwa mizizi yake na kuveshea kofia kwa juu.
Zipo crown za material ya Ceramic, Zirconia na Precious metal
Gharama inategemeana na sehemu
Kwa msaada zaidi waweza nitafuta Inbox
Kwa contact za madaktari.
Mm ni Mmoja wapo wa watu ambao tunatengeneza Meno ila tunashirikiana na Madaktari kutoka clinic mbalimbali kwa Dar na Mikoani....Arusha na Dodoma.
Moja wapo ya Kazi zetu.Crown ni sawa na kusema Kofia....
Jino ambalo ni bovu na ambalo halina maumivu huchongwa na kutengenezewa jino ambalo linafanana na meno mengine,
Na kama lina maumivu huuliwa mizizi yake na kuveshea kofia kwa juu.
Zipo crown za material ya Ceramic, Zirconia na Precious metal
Gharama inategemeana na sehemu
Kwa msaada zaidi waweza nitafuta Inbox
Kwa contact za madaktari.
Mm ni Mmoja wapo wa watu ambao tunatengeneza Meno ila tunashirikiana na Madaktari kutoka clinic mbalimbali kwa Dar na Mikoani....Arusha na Dodoma.
Sawa siku moja nitawa wekea ni muda tu in box ni kwa yule ambaye anahitaji nimuunganishe na Dr.Tuwekeeni jukwaani wote tuelimike huu uchoyo wa inbox huu
Shukran mkuuSawa siku moja nitawa wekea ni muda tu in box ni kwa yule ambaye anahitaji nimuunganishe na Dr.
Nashkuru kwa maelezo yakoCrown ni sawa na kusema Kofia....
Jino ambalo ni bovu na ambalo halina maumivu huchongwa na kutengenezewa jino ambalo linafanana na meno mengine,
Na kama lina maumivu huuliwa mizizi yake na kuveshea kofia kwa juu.
Zipo crown za material ya Ceramic, Zirconia na Precious metal
Gharama inategemeana na sehemu
Kwa msaada zaidi waweza nitafuta Inbox
Kwa contact za madaktari.
Mm ni Mmoja wapo wa watu ambao tunatengeneza Meno ila tunashirikiana na Madaktari kutoka clinic mbalimbali kwa Dar na Mikoani....Arusha na Dodoma.
Asante nimeelewaDentist anakupima size ya crown yako, unang’ata kitu kama chewing gum. Crown unapokuwa tayari unasafishwa kwanza kuondoa bacteria, unavalishwa crown.
Hutakiwi kula kitu kwa masaa sita baada ya surgery. Unaweza kusikia maumivu baada ya hapo. Maumivu yakiendelea kwa siku tatu baada ya surgery ni dalili ya infection. Rudi kwa dentist ikiwezekana ufanyiwe root canal
Asante nimepata picha,natibiwa muhimbili nna clinik tarehe 27Moja wapo ya Kazi zetu.View attachment 748935View attachment 748941
Root canal wanafanya kitu gani hapo dada na ni bei gani mana na mm nina jino moja tena reception kabisa halifanyi kazi nawaza kulitoa lakini mhm balaa sana naweza pata nn cha kufanya??Dentist anakupima size ya crown yako, unang’ata kitu kama chewing gum. Crown unapokuwa tayari unasafishwa kwanza kuondoa bacteria, unavalishwa crown.
Hutakiwi kula kitu kwa masaa sita baada ya surgery. Unaweza kusikia maumivu baada ya hapo. Maumivu yakiendelea kwa siku tatu baada ya surgery ni dalili ya infection. Rudi kwa dentist ikiwezekana ufanyiwe root canal
Root canal ni kusafisha ndani ya jino bovu kuua bactria baadae linazibwa kwa risasi au crownRoot canal wanafanya kitu gani hapo dada na ni bei gani mana na mm nina jino moja tena reception kabisa halifanyi kazi nawaza kulitoa lakini mhm balaa sana naweza pata nn cha kufanya??
MmmmhhRoot canal wanafanya kitu gani hapo dada na ni bei gani mana na mm nina jino moja tena reception kabisa halifanyi kazi nawaza kulitoa lakini mhm balaa sana naweza pata nn cha kufanya??
Ni kutoa mzizi wa jino yani jino linakuwepo tu lakini halina mawasiliano na mwili haliwezi kuuma,Mimi nimeshafanyiwa root canal jino moja lilikuwa limeoza linauma halafu la mbele so daktari amenishauri nisilitoe nitolewe mzizi wa jino halafu niweke crown litakuwa kama zamani,nilikuwa nahitaji maelezo kuhusu crown coz next week ndo tarehe yangu ya kuwekewa hyo crown nashkuru nimepata idea kidogoRoot canal ni kusafisha ndani ya jino bovu kuua bactria baadae linazibwa kwa risasi au crown