Madaktari sasa mnakera

Mmetuchosha na ulafi wenu mnataka bajeti yote ya Taifa iwe yenu? Angalieni kada nyingine hali ilivyo na wao ni watoa huduma kama nyie

Ninaogopa kukuunga mkono pamoja na kuwa records zinaonyesha kuwa umzoefu wa kuchangia, kwenye hili nahisi kama hukuamka vizuri, basi umekurupuka
 
Mmetuchosha na ulafi wenu mnataka bajeti yote ya Taifa iwe yenu? Angalieni kada nyingine hali ilivyo na wao ni watoa huduma kama nyie

Kama umewachoka basi nenda Msoga...kule kuna madaktari ambao watakuagiza uKalete Jogoo, Mchele, Kabichi, Viungo vya pilau, viazi, royco, na madikodiko mengine kisha ukivipeleka anakupa makolokolo meeengi na tashtiti nyingine kisha anakwambia ukalale kaburini halafu ukaoge saa saba mchana ppale mtaa Congo Kariakoo...
 
Back
Top Bottom