Madaktari na walimu pamoja na watumishi wengine wa umma cdm ndio jibu

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,587
573
Kutokana na Serikali ya CCM kutumia mahakama kama chombo cha kuwanyima madaktari,walimu pamoja na watumish wote kwa pamoja kudai haki zao za msingi pamoja na mazingira mazuri ya kufanyia kazi.

Ni wakati sasa watumishi wa umma kuanza kukiunga mkono kwa pamoja CHADEMA katika kuelekea kushika dola 2015,Kwan CHADEMA ni kwa maslah ya umma na ilan yake inatoa kipaumbele kwa watumishi wa idara zote.

UNGA MKONO CHADEMA KWA MASLAH YA WALIMU, MADAKTARI, MKULIMA, MFUGAJI NA WATUMISHI WOTE WA UMMA AMKENI SASA
 
Toa sababu kumi za CDM na kwa nini siyo CUF, NCCR , TLP au vyama vingine. Ndiyo maana wananchi wenye akili zao lazima wataamnini kuwa migomo yote hii inasababishwa na CHADEMA.

Kwa pamoja lazima tukatae hila hizi za CDM na kauli zao za nchi kutotawalika kwa sababu vurugu zikitokea utawasikia hao na Helikopta zao nje ya nchi huku wakiacha watoto,,akina mama na vikongwe wakibalishwa kuwa uwanja wa damu.

Yaani wewe leo umedhihirisha wazi kuwa CDM ni chanzo cha migomo kweli.
 
Kumbe CDM ndio jibu? Hivi hujui aliyekosea na aliyepatia wote wamejibu? Au Yes/No yote ni majibu? Haya hiyo CDM iko katika jibu lipi? Otherwise ungesema ndio jawabu(solution) lakini kwahapo umekosea.
 
Mkuu nimeeleleza juu ya baadh ya vipaumbele vya CHADEMA kwa hyo namaanisha juu ya majibu ya madai yao ya msingi
 
Toa sababu kumi za CDM na kwa nini siyo CUF, NCCR , TLP au vyama vingine. Ndiyo maana wananchi wenye akili zao lazima wataamnini kuwa migomo yote hii inasababishwa na CHADEMA. Kwa pamoja lazima tukatae hila hizi za CDM na kauli zao za nchi kutotawalika kwa sababu vurugu zikitokea utawasikia hao na Helikopta zao nje ya nchi huku wakiacha watoto,,akina mama na vikongwe wakibalishwa kuwa uwanja wa damu. Yaani wewe leo umedhihirisha wazi kuwa CDM ni chanzo cha migomo kweli.
Ni lazima CHADEMA kwa kua wanaelekea kuchukua dola 2015
 
Kwa hiyo CHADEMA itaondoa mahakama zote au italeta mahakimu na majaji wa CHADEMA? Kwa sababu kama unasema tatizo ni mhimili wa mahakama kutokufanya kazi kwa weledi, basi unawajibika kuelezea CHADEMA itafanya nini ili mahakimu na majaji wafanye kazi kwa weledi at the same time CHADEMA isiingilie uhuru wa mhimili huo wa dola.
 
Mhimili wa mahakama utaheshimiwa sana 2 tofauti na sasa ila watatimiziwa mahitaj yao kutakua hamna haja ya kwenda mahakaman
 
kweli kaka, tatizo watanzania kubadilika imekuwa taabu sn. il nawamba sn Watz watambue Tz ya leo haiwezi kuendelea na mawazo na ilani za CCM bcoz are out of date na hazina manufaa ya kujenga nchi wala kuboresha maisha ya watanzania.
 
Toa sababu kumi za CDM na kwa nini siyo CUF, NCCR , TLP au vyama vingine. Ndiyo maana wananchi wenye akili zao lazima wataamnini kuwa migomo yote hii inasababishwa na CHADEMA. Kwa pamoja lazima tukatae hila hizi za CDM na kauli zao za nchi kutotawalika kwa sababu vurugu zikitokea utawasikia hao na Helikopta zao nje ya nchi huku wakiacha watoto,,akina mama na vikongwe wakibalishwa kuwa uwanja wa damu. Yaani wewe leo umedhihirisha wazi kuwa CDM ni chanzo cha migomo kweli.

kwani CDM ndo wamekataa kutimiza matakwa ya hawa wafanyakazi? Kama siyo kwanini CDM wawe chanzo cha migomo yenye tija? Au ni kwa 7bu ya kumweleza kila mwananchi wajibu wake na haki yake? Je mgomo wa wazee wa EAC walisababisha wao kwakutowalipa madai yao? Ni wazi kabisa the leading party ndo wanayasababisha yote haya, mpaka kuwepo kwa huu mgomo baridi ambao idadi ya watoto wanaomaliza std 7 huku hawajui kusoma inaongezeka kila kukicha
 
Kumbe CDM ndio jibu? Hivi hujui aliyekosea na aliyepatia wote wamejibu? Au Yes/No yote ni majibu? Haya hiyo CDM iko katika jibu lipi? Otherwise ungesema ndio jawabu(solution) lakini kwahapo umekosea.

Hope wewe ndo umekose 7bu kusema cdm ni jibu inamaana jibu lililokosewa siyo jibu sahihi
 
Kwa hiyo CHADEMA itaondoa mahakama zote au italeta mahakimu na majaji wa CHADEMA? Kwa sababu kama unasema tatizo ni mhimili wa mahakama kutokufanya kazi kwa weledi, basi unawajibika kuelezea CHADEMA itafanya nini ili mahakimu na majaji wafanye kazi kwa weledi at the same time CHADEMA isiingilie uhuru wa mhimili huo wa dola.

Ni wazi kabisa mahakama za sasa zinafanya kazi zake kwa shinikizo la ccm, ila pindi mahakama hizi zisipoingiliwa ktk mambo yake ni wazi zina uwezo wa kutoa maamuzi sahihi na yenye kuleta usawa na haki kwa waTZ
 
Peoples power, I mean people power ndio kimbilio lililobakia. CCM ni wahuni. hili somo linaeleweka kirahisi wakati wa machungu.
 
kweli kaka, tatizo watanzania kubadilika imekuwa taabu sn. il nawamba sn Watz watambue Tz ya leo haiwezi kuendelea na mawazo na ilani za CCM bcoz are out of date na hazina manufaa ya kujenga nchi wala kuboresha maisha ya watanzania.

Na wanaishia kwa maneno tu pasipokuwa na vitendo na sidhani kama kuna taifa lingine lolote duniani linaloishia kwenye maneno pekee
 
Toa sababu kumi za CDM na kwa nini siyo CUF, NCCR , TLP au vyama vingine. Ndiyo maana wananchi wenye akili zao lazima wataamnini kuwa migomo yote hii inasababishwa na CHADEMA. Kwa pamoja lazima tukatae hila hizi za CDM na kauli zao za nchi kutotawalika kwa sababu vurugu zikitokea utawasikia hao na Helikopta zao nje ya nchi huku wakiacha watoto,,akina mama na vikongwe wakibalishwa kuwa uwanja wa damu. Yaani wewe leo umedhihirisha wazi kuwa CDM ni chanzo cha migomo kweli.
cuf nssr tlp =ccm
 
Midomo mirefuuuu kama chupa! Ngoja tutaona.Ngoma ikivuma sanaaaa mwisha inapasuka buuu! Na hapo ndio mwisho wa utamu wa ngoma.
 
kweli kaka, tatizo watanzania kubadilika imekuwa taabu sn. il nawamba sn Watz watambue Tz ya leo haiwezi kuendelea na mawazo na ilani za CCM bcoz are out of date na hazina manufaa ya kujenga nchi wala kuboresha maisha ya watanzania.[/QU so?
 
Laiti ungejua ndugu! Iakin siombaya labda na wewe unafaidikaga na kinachoendelea nyuma ya pazia
 
unapokuwa na chama zaidi ya kimoja unapoona chama hakikutendei haki lazima uangalie chama mubadala usiwe na mawazo mgandamizo ya ya kufikiria ccm tu wakati haiwatendei haki wananchi wake kama haya ya mgomo.majibu hayaridhishi na wewe unajua watu wakisema ukweli ni chadema basi chadema ndio chagu kwa kuwa wanasemea watu mambo ya kweli.na kweli chama mubadala kwa sasa ni chadema ccm wamechoka kutawala na hili halipingiki

chadema ndio chama cha upinzani chenye nguvu na chenye dira ya kututoa na haya yote hawa wengine ni mawakala
 
Back
Top Bottom