Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,099
- 25,970
Kweli Kabisa Chief na bado wale ambao hawafi lkn hubaki na madhara mengi ya kiafya.Marekani zaidi ya watu 7000 wanakufa Kila mwaka baada ya kuchanganyiwa dawa kisa miandiko mibovu ya Hawa mapimbi
Au ndio mmoja Wapo nini hahahaVilaza siku zote ndio wanaremba mwandiko
ukiniuliza mm mtazamo wangu, naona kama ndio wanafanya ndio utambulisho wao, lkn wajue wanawaumiza watu wengi kwa swaga zao mbovuWakati Mwingine Ni ngumu kuelewa kwanini Dr anaandika vile, ila umuhimu wake ni mkubwa Mno .
Hukupaswa kujua khs sehemu ya uzi na ulitakiwa ujue kusudio la uzi khs miandiko yaoSasa kama hatupaswi kujua umeleta uzi wa nini
Naheshimu maoni yako chiefMambo ya madokta uchwara hayo, tuwaachie wenyewe
Uko sahihi lakini pia wanafanya hivo kuepusha vifo vinavotokana na wagonjwa kukalili dawa na kwenda kununua dawa famasi kwa mazoeaukiniuliza mm mtazamo wangu, naona kama ndio wanafanya ndio utambulisho wao, lkn wajue wanawaumiza watu wengi kwa swaga zao mbovu
Kuna kitu nimejifunza toka kwako,huenda ni sehemu ya sababu ingawa Ina matokeo hasi sanaUko sahihi lakini pia wanafanya hivo kuepusha vifo vinavotokana na wagonjwa kukalili dawa na kwenda kununua dawa famasi kwa mazoea
Dah umetisha Sana Chief hahahaajabu huwa naelewa miandiko yao japo nimeishia ra saba ccm b
Hapana, ukweli ni kwamba ma Dr wanaona wagonjwa wengi mno kuliko inavyotakiwa kwahiyo kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanajikutaka wanaandika haraka haraka na automatically mwandiko unabadilika na kuwa haueleweki kwa watu wa kawaida japo wenyewe kwa wenyewe wakisoma wanafahamu.Uko sahihi lakini pia wanafanya hivo kuepusha vifo vinavotokana na wagonjwa kukalili dawa na kwenda kununua dawa famasi kwa mazoea
Jibu sahihiHapana, ukweli ni kwamba ma Dr wanaona wagonjwa wengi mno kuliko inavyotakiwa kwahiyo kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanajikutaka wanaandika haraka haraka na automatically mwandiko unabadilika na kuwa haueleweki kwa watu wa kawaida japo wenyewe kwa wenyewe wakisoma wanafahamu.