hahahaaaaaaaa
asakuta same kumbe ndio unaandikaga hivi
Nawasubiri ma docta waje hapa.
hivi ni lazima kucharanga mwandiko?
siyo lazima mrembo.........
Kumbe huwa ni mbwembwe tu!!!
haraka na spidi ya kuwahi kumaliza wagonjwa labda inachangia.............