Nakumbuka zamani tukiwa chuoni jamaa mmoja akawa anaandika kwenye daftari zake eti Dr.........! Dr wa ukweli wa Medicine alipoliona hilo jina alikoroma karibia nusu saa! Kila akizunguka kwenye chumba akimkaribia yule jamaa anasema eti unajiita Dr. wakati hata u.pu.mbavu wa udaktari hujaupata she.nzi kabisa!!!! Sasa huyu Mbwiga wa Mbwigule naye anaanza kujiita Dr. hata chuoni hajakanyaga, makubwa haya!!