kitendo cha rais kubariki posho za wabunge ndio kimewatia zaidi hasira wafanyakazi wote wa sekta ya serikalini
vp mawenzi hapo huduma zinapatikana??
Rais hajasaini.
Tanzania kuna shida nyingi sana,watu hawajali wengine wenye shida,kila mtu anajiangalia mwenyewe tu
Madaktari leo asubuhi wameukoleza moto kweli kweli!madaktari waliokwenye mafunzo ya vitendo (interns) wanazunguka tu wodini leo na madaktari wakazi(residents) wamekusanyika jengo la chuo cha kcmc wakiomba kupewa madarasa ya kusomea. Hii inatokana na vitisho walivyopewa na mkurugenzi wa hospitali kwamba hawaruhusiwi kugoma kwa sababu wao ni wanafunzi!
Madai yao ni kwamab 'sisi ni wanafunzi wa chuo hivyo hatuendi hospitali kutibu!tupewe madarasa tusome!'
Aluta continua