Madaktari huu ni ubinafsi, wekeni uzalendo mbele acheni maslai binafsi

We hujui unachoongea, Huko nyuma kwani watu walikuwa hawafi!!, umeuliza kwanini walikuwa wanakufa na madaktari wapo!!.

tatizo inaonekana mgomo haujakuadhiri kabisa, kama ungeumwa/au ndugu yako angeumwa ndio ungejua adha wanayopata wenzio, pia inaonyesha unavijisent ambavyo ukiumwa unaweza enda pale maria stopes au mikocheni au agha khan fikiria wasio na uwezo ndugu.. acha ubinafsi wewe
 
We ndio mara yako ya kwanza nini kuumwa au kuuguza. Au inaelekea hujawahi kuuguza wewe. Huelewi kitu kabisa. Basi ndio nakwambia hali ilikuwa ni mbaya hata wakati madaktari wapo na moja ya mambo ya msingi wanayodai madaktari ni uboreshaji wa huduma na upatikanaji wa vifaa na madawa hospitalini. Acha uvivu wa kufikiria!!.
 
Acha wagome na bado walimu (km wanaweza lkn), serikali gani isiyojua vipaumbele vya maendeleo, vipaumbele vya serikali hii ni safari zisizo na tija za jk na msururu wa watu, kusheherekea miaka 50 kwa mabilion, kuongeza mikoa na wilaya ili kuwapa maswahiba ulaji. Serikali yetu imekuwa tajiri kwa kauli na sera zisizotekelezeka, mara kilimo kwanza, mkukuta, vision 2025, what a nonsense!

Inaelekea ndugu yangu wewe hujui kuumwa. Hivi unataka kika kitu kisitishwe ili madaktari wafurahi? Hivi sasa wanapogoma ndio wameokoa maisha? Srikali ilishaahidi kuwa wanayashughulikia matatizo hayo, na hii likuwa ni miezi mitatu tu iliyopita. Ssasa hivi ni kipndi cha bajeti, ni kwaninini wasingesubiri waone kuwa hizo fedha za wizara ya afya zitakidhi nini? Siyo kweli kuwa kuna serikali duniani ambayo ina uwezo wa kutatua tatizo lenye ukubwa wa hili la fay kkatika kipindi kifupi cha miezi sita. Hii ina maana kuwa vitu vyote visitishwe. kushighulikia matatizo kunatoambatana na uwezo. Najua utasema uwezo upo, lakini hata hivyo inahitaji kujipanga. Mheshimiwa Rais aliongea naoa na wakasema wameelewa, ni kwa nini wasirudi tena kwake kuzungumza badala ya kuwaadhibu wananchi wasio na hatia? Hao akina mama wajawazito ndio serkali? Hizo maiti zilizoko mrtuary ndio serkali?
 
We ndio mara yako ya kwanza nini kuumwa au kuuguza. Au inaelekea hujawahi kuuguza wewe. Huelewi kitu kabisa. Basi ndio nakwambia hali ilikuwa ni mbaya hata wakati madaktari wapo na moja ya mambo ya msingi wanayodai madaktari ni uboreshaji wa huduma na upatikanaji wa vifaa na madawa hospitalini. Acha uvivu wa kufikiria!!.

haya umeshinda kaka, tatizo inaonekana unashabikia tuu hujui madhara ya mgomo so siwwezi bishana na wewe, lakini ungekuwa na uwezo mzuri wakufikiri sidhan kama ungeshabikia mgomo unaosababisha mauaji ya watu wasio na hatia.
 
Kwa mfano umeajiriwa as car mechanic,kuna spana na vifaa vya kutengeza baadhi ya magari....toyotas,nissan garage unayofanyia kazi haina modern diagnostic tools za merc benz,bmw,audi kama u can only repair toyotas,nissans and not benz,bmw utagoma kufanyakazi au utafanyakazi unayoweza kulingana na vifaa ulivyonavyo?
NB:Hili halina uhusiano wowote na mgomo wa maDr msinishambulie sana
 
Kama mazingira ya kazi ni magumu kwanini maDr hawaachi kazi waende sehemu zenye mazingira mazuri?
Kwanini ugome na uendelee kula kijimshahara cha bure? Acha kazi nenda huko kwenye mazingira mazuri either private hospital or Botswana/SA/US/UK.
Im sure if our DRs had a choice btn working here or Botswana there is only one answer
So whats stopping u from jumping private band wagon?Fort sure i know its NOT loyalty!
Competence?!
 
Back
Top Bottom