Madaktari bingwa mchina, mjerumani na mbongo

Madaktari bingwa mchina, mjerumani na mbongo

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
2,008
Reaction score
949
[h=6]Walikaa madaktari bingwa kati ya China,Ujerumani na Tanzania wakipeana taarifa kuhusu utendaji wao wa kazi nchini mwao;
MCHINA; ''Nchini mwetu alizaliwa mtoto hana mkono,akawekewa wa bandia ss hv ni mcheza karate.
MJERUMANI; Hiyo mbona ni cha mdoli nchini kwetu alizaliwa mtoto wa kike hana miguu yote miwili,akawekewa miguu ya bandia na ss hv ni mkimbiaji wa marathon na ana medali 3 za dhahabu.
M'BONGO; Akasimama na kucheka kwa dharau akasema ''Nchini kwetu alizaliwa mtoto hana kichwa hapo Bagamoyo,tukamuwekea nazi na ss hv ni rais wa nchi.
[/h]
 
Uuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiii....mbaaaaaaavuuuu zangu ahahaha.nukta
 
Back
Top Bottom