Madakitari waliogoma, wafukuzwa

Madakitari waliogoma, wafukuzwa

mizambwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2008
Posts
4,421
Reaction score
1,792
Madakitari waliojihusisha na mgomo uliotingisha nchi, wameitwa na kuhojiwa kisha wengine kupewa adhabu mbalimbali na wengine kufukuzwa kabisa.

Je, Dr. Ulimboka na viongozi wengine watapata adhabu gani???


Chanzo soma hapa:
Madaktari waliosimamishwa waadhibiwa


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mmmmmmhh! Hii mbaya sana ngoja nitarudi na hoja ya msingi!

Jackbauer; Hebu zunguka huku tukutane!
 
Last edited by a moderator:
Wamefukuzwa udaktari au wamefukuzwa kazi ya udaktari kwenye hospitali za serikali?

Sijaelewamo....
 
madakitari waliojihusisha na mgomo uliotingisha nchi, wameitwa na kuhojiwa kisha wengine kupewa adhabu mbalimbali na wengine kufukuzwa kabisa.

Je, dr. Ulimboka na viongozi wengine watapata adhabu gani???


chanzo soma hapa:
madaktari waliosimamishwa waadhibiwa


mizambwa
inaniuma sana!!!
waambieni chadema sasa wawasaidie c ndo walikuwa wanapa vichwa..kwisha habari zenu sheria nimsumeno..dr.ulimboka na wenzie wako kimya sahizi
 
wamefukuzwa udaktari au wamefukuzwa kazi ya udaktari kwenye hospitali za serikali?

Sijaelewamo....

hawana kibali watafanya kazi wapi sasa hata private hawawezi fanya kazi....wamepoteza miaka yao shule bure .....kila nchi ina sheria zake
 
Dah safiiiiiiiii sanaaaaaaa. Haya waende wakanywe viroba vya kugongea sasa.
 
Wamefukuzwa udaktari au wamefukuzwa kazi ya udaktari kwenye hospitali za serikali?

Sijaelewamo....

hawana kibali watafanya kazi wapi sasa hata private hawawezi fanya kazi....wamepoteza miaka yao shule bure .....kila nchi ina sheria zake

Dah safiiiiiiiii sanaaaaaaa. Haya waende wakanywe viroba vya kugongea sasa.

Lakini kutokana na maelezo hapo katika gazeti hili la Habari Leo ni kwamba: Serikali baada ya kushindwa kuwalipa mshahara wa Mil 7.7 iliwaambia kuwa "waende wakatafute mwajiri mwingine anayeweza kuwa lipa kiasi hicho kwani Serikali haina uwezo huo".

Sasa ilikuwaje wakawanyang'anya leseni zao?????

Kama siyo unyanyasaji huu na ubabe??????

Mbona Wabunge hawashiriki vikao ambayo ni wajibu wao lakini hawafukuzwi??



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
adhabu hiyo ni kubwa mno, imezidi kipimo ukizingatia kuwa hao ni watoto wetu wa kitanzania hata wakikosea wakati mwingine tunatakiwa kuwavumilia na kuwasamehe. hata kama kugoma kwao kunaweza kuwa kulisababisha vifo vya wengi, sasa kuwachinjia hao baharini tunaingia hasara mara mbili, hasara ya waliokufa na hasara ya watumishi ambao wangeendelea kuokoa maisha ya waliobaki ili wasife. napinga kabisa hawa watoto kufukuzwa kabisa,wasamehewe ila waonywe tu. hata hivyo kwa kukaa nje ya kazi muda wote huu ni adhabu tosha, kuwachinjia baharini kwa miaka yote hiyo wamesoma ni kuwapelekwa wakaishi maisha magumu wanywe mipombe kwa kukata tamaa ya maisha na kufa mapema...why this?
 
wewe mizambwa huna akili. Au unakurupuka . Hawa waliambiwa waende wakatafute mwenye uwezo wa kuwalipa. Hawakwenda wakabaki na kugoma . Sasa wamefukuzwa. Au ulitakaje?
 
waambieni chadema sasa wawasaidie c ndo walikuwa wanapa vichwa..kwisha habari zenu sheria nimsumeno..dr.ulimboka na wenzie wako kimya sahizi

kwasababu wanaotibiwa kwenye hospitali za serikali wote wanaenda na kadi za chadema, ccm hawaendi kutibiwa huko na hivyo hakuna madhara. Think wider mkuu
 
Washitakiwe kwa kosa la mauaji ya makusudi. Ikibidi wanyongwe ili iwe fundisho
 
Au wafukuzwe na nchi kabisa.
Hivi ujinga ujinga utatuisha lini wabongo?Wewe hata huoni kwa kufukuzwa hao waganga hasara zaidi ni kwako wewe mwananchi! Wewe ndie utakae kufa kutokana na kuwa kuna upungufu wa madaktari!, wewe ndie imekula kwako kwa kodi yako kumsomesha daktari ambaye unamfukuza! Wenzio wakiumwa haooo apollo india!Badala ya kuihoji serkali pesa yako ya kumsomesha daktari ni nani atakulipa! Unawaza ubozi! Nimeamini ukiona serkali dhaifu ujue wananchi ndio dhaifu!
 
wewe mizambwa huna akili. Au unakurupuka . Hawa waliambiwa waende wakatafute mwenye uwezo wa kuwalipa. Hawakwenda wakabaki na kugoma . Sasa wamefukuzwa. Au ulitakaje?

Ama kweli wewe ni kupe na unaishi kwa kunyonya wengine hivyo uwezo wa kufikiria ni mdogo sana.

Unapomnyang'anya mtu leseni ambayo ameisomea, je ni kumkomoa au nini. Bila sha ni mambo ya kitoto eti kutunisha kifua uonekane mwamba.

Wewe kama ulimwambia mtu akatafute kazi sehemu ya maslahi zaidi kwa nini umkate na miguu ili asitembee, je hiyo kazi atatafuta vipi na ikiwa hana leseni????

Ni serikali ya kitoto, chama cha kitoto, viongozi mawazo kama ya ndugu kupe hapa.

Na ndio maana nchi haiendi mbele kwa sababu ya viongozi wenye mtazamo Negative kwa kila jambo. Wao wanaenda kutibiwa India sisi tunakosa huduma hapa katika vidispensary vyetu.

kisha eti MAISHA BORA kwa KILA MTANZANAI!!!!!!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Last edited by a moderator:
Daktari anapogoma ni sawa na mzazi wako angegoma kukulisha alipokuzaa. HAWA HAWANA TOFAUTI NA MUUAJI YEYOTE
 
Mizambwa tumia.....KICHWA..... kufikiri. kodi zetu zikilipwa je na uhai wa ndugu zetu utarudishwa. au kodi na uhai kipi bora
 
Unataka Wasifutiwe vibali ili wakaendelee kuua wagonjwa?????????
 
usitake watu wapewe ban kwa kuropokaropoka bila kushirikisha akili,tumia vizuri mawazo yako,na sio kukurupuka kama ulivyofanya.
 
Back
Top Bottom