Tehe tehe teheee.Hapo tafsiri yake ni kama ifuatavyo: Tunapinga matatizo ya kiafya yanayosababishwa na Ufisadisiasis na uzembesiasis na kwasababu wanasiasa wanajikinga na maradhi hayo kwa kutumia Apolloquine. basi tunashauri watz wapewe dozi maboreshoxazole hosipitalini na madocta waongezewe mshaharacetamol
Hapo tafsiri yake ni kama ifuatavyo: Tunapinga matatizo ya kiafya yanayosababishwa na Ufisadisiasis na uzembesiasis na kwasababu wanasiasa wanajikinga na maradhi hayo kwa kutumia Apolloquine. basi tunashauri watz wapewe dozi maboreshoxazole hosipitalini na madocta waongezewe mshaharacetamol
Haya ni madai ya msingi kabisa.. Teh! Teh!Hapo tafsiri yake ni kama ifuatavyo: Tunapinga matatizo ya kiafya yanayosababishwa na Ufisadisiasis na uzembesiasis na kwasababu wanasiasa wanajikinga na maradhi hayo kwa kutumia Apolloquine. basi tunashauri watz wapewe dozi maboreshoxazole hosipitalini na madocta waongezewe mshaharacetamol
Ndiyo maana serikali imeshindwa kutatua matatizo ya doctors: wanatumia lugha ngumu!
Nimeweza kusoma maneno haya; "TUNAOMBA MSAMAHA TURUDISHENI KAZINI"View attachment 65523
Nimejaribu kusoma kwa umakini mkubwa,nimeshindwa kuwaelewa.Naombeni msaada anayeelewa.