The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,426
Tunapoelekea kwenye uchaguzi, tutaona na kusikia mengi mojawapo yakiwa ya Josephat Gwajima na Humphrey Polepole dhidi ya chama na serikali yao. Je kuna uwezekano wa kuibuka mitandao ya ndani ya kimaslahi ndani ya CCM?