Sidhani kama protest watu elfu 5 katika nchi ya watu milioni 20 tunaweza kuiita peoples power. Peoples' power ni ale watu wote waliposhirikishwa kuamua nani aongoze nchi kwa miaka ya awamu hiyo ya utawala mpaka uchaguzi unaofuata. Iwapo kuna haja ya kumtoa madarakani Rais, ni sawa kufanya maandamano, lakini maandamano hayo yawe na lengo la kumshinikiza kiongozi kutoka madarakani na akitoka basi utaratibu unaofaa kuchagua kiongozi mwingine ufanyike mara moja, sio hii ya mtu kujitangaza kuwa yeye ndio atakuwa Rais wakati hata umri wa kuwa Rais hajafikisha kikatiba. Hii ya mtu kuja na kutangaza kubadilisha katiba ili imsuite yeye kuongoza sijui mnaishabikia nini? Kweli mna uhakika hii kitu ndio mnatamani itokee kwenye ardhi tuliyorithi toka kwa Mkwawa aliyekubali kujiua kwa kulinda heshima ya watu wa aina yake?
Rais alitangaza referendum ili wananchi wote wapate fursa ya kutoa maoni yao, je kwanini huyu MUHUNI amekataa kufanya hivyo, well kwa sababu anajua ukitoka nje ya Antananarivo hakuna mtu anayemjua na hawezi kuwaconvince watu walio sober. Yeye anaweza kuongea na vijana wahuni wahuni wa mtaani, hao ndio wanaomuelewa. Na msishangazwe sana na maamuzi ya Jeshi kumsupport huyu DJ, kuna lobbying ya Rais aliyetolewa kwa kura mwaka 2006 akagoma kutoka Ikulu na sasa anarevenge kwa Rais aliyechaguliwa na wananchi.
Huyu dogo endeleeni kumshabikia ila kuweni na uhakika kuwa muda utawapa jibu halisi. Fuatilieni kwa ukaribu nini kitatokea Madagascar in the next 3 years, ili muone kama huyu DJ ataongeza hicho kipato cha mwananchi. By the way msisahau kuwa huyu ni mfanyabiashara na biashara amezianza muda si mrefu na bado hajafikia level ya kuitwa tajiri ila matendo yake yote amekuwa ni mpenda utajiri na power, sasa anayo - ours are eyes!
Kwa kweli nimesononeshwa sana na maoni ya aina hiyo, hasa kwa vile wanaoyatoa ndio miongoni mwa watanzania wachache waliopata fursa angalau ya kuweza kutumia computer, nilitegemea watanzania kama hao wawe walimu kwa wale waliokosa fursa hizo, ila kama hii ndio ari ya watanzania wenye upeo basi inasononesha.
Upeo wa macho yako ni finyu na mdogo sana kuona umbali wa Mita moja tu. Hii ni kutokana na michango yako iliyojaa woga kupindukia. Ningekukuwa karibu ningekuchapa MIJEREDI pumba*********.
Wewe mwenye access ya mtandao uko mwoga hivi, aliyeko Maneromango itakuwaje?.
Kumbe ndio maana DSM inaongoza kwa kuichagua CCM.
Kijana wa mtaa nakushukuru kwa maoni yako. NINA TATIZO MOJA huwa sipendi kuandika kwa kuchanganya lugha ila kwa sababu mawazo yangu nayatoa papo kwa papo (on line.) Nina maana muda kwangu hautoshi kwa hiyo ninapoishiwa maneno ya kishwahili nachapia na kingereza kweli hii ni tabia mbaya nisamehe bure dogo!!!! Ninapowaandikia watu wanaonijua jambo likinitibua huwa naandika lugha zote ninazozijua kwa Wanakijiji hawatanielewa ila najitahidi kutumia mbili tu. NARUDIA kuhusu mada demokrasia ni aghali mno kwa watu ambao wajinga ni asilimia 95% kama kina Marco POLO!! kATIBA iliyopo sio yetu kuna wababe fulani walichukua katiba ya watu fulani wakafanya (Copy and paste)
Suluhisho tunao muda tuandike katiba upya turuhusu irekebishwe kwa njia hiyo hiyo. Hapo ndipo patamu hata kuweka viraka tu CCM wanaona Noma sasa tupatie jibu Marco polo! Njia ya mpito ni hiyo ya MADAGASCAR . Kama unakumbuka historia kule GHANA walitumia mapinduzi ya kijeshi hivyo wana nafuu kidogo angalau Vumbi LA dhahabu wanaliona acheni utani vinginevyo umaskini hapa mapaka kiama. Rostam Aziz alinunua Mgodi wa Resolute pale Nzega uliachwa na wazungu wa AUSTRALIA akawamuru JK asibadili sheria ya madini ili aendelee kuchota madongo kama hamjui tumeliwa kwa hiyo sheria ikibadilishwa itawahusu wanokuja huo ni upuuzi mtupu!!! na wizi mtupu.!!!! Hao wanaotaka uchaguzi wale vichwa vya sangara na ngozi pale uwanja wa fisi mimi sikubali lazima pale Ikulu patachimbika tu na kwa wewe JK Mwitongo ya Chalinze iko barabarani mno labda aihamishie Kiwanga kama ana akili. Mkapa alijenga kule Lushoto milimani ili mtu akipanda amwone hataki mdundiko wa PWANI!!!!
The case of Madagascar may look so sad but remaining at the level of sympthy and sanctions will not do justice to the people. I was not shocked that the President was pushed to this level since the writting were clearly on the wall following the events in the that island's capital. I have a feeling that the writings are on the wall too for many African leaders. The litmus would be on how the have performed and behaved. Those leaders who make a mockery of elections and democracy as if it were some circus. Yes, the leaders who turn their people into puppetts and siphon millions of the tax payers' hard earned cash and stush in their foriegn offshore accounts, those corrupt inept and dictators who should be help them cry foul?Madagascar president steps down
ANTANANARIVO, Madagascar
Madagascar's president handed over power Tuesday but not to the rival who plunged this Indian Ocean island nation into weeks of turmoil with his bid for power.
In a radio address Tuesday, President Marc Ravalomanana said he was ceding power to the military.
"After deep reflection, I have decided to dissolve the government and give up power so that a military directorate can be established," he said. "This decision was very difficult and very hard, but it had to be made. We need calm and peace to develop our country."
An aide to Ravalomanana said the military directorate would be made up of veteran, high-ranking military leaders who would organize a national conference that would be responsible for holding elections within two years. Ravalomanana's term would have ended in 2011.
The members of the directorate were not named.
There was no immediate reaction from opposition leader Andry Rajoelina, who has led weeks of anti-government protests.
Rajoelina accuses Ravalomanana of misspending public funds and undermining democracy in Madagascar an impoverished Indian Ocean island of the coast of Africa known both for its natural beauty and its history of political infighting and instability.
Over the weekend, Rajoelina declared himself president of a transitional government and promised new presidential elections within two years. On Monday, he called on the army to arrest the president, but soldiers refused.
The president says Rajoelina is seeking power by unconstitutional means. A breakaway army faction had claimed it was neutral and interested only in restoring order, but the split in the military has greatly weakened the president.
Earlier Tuesday, Rajoelina entered one of the capital's presidential palaces, welcomed by mutinous soldiers who apparently support him. That could set the stage for further impasse. The soldiers had seized the deserted palace, usually used for ceremonial purposes, on Monday night.
The president was in his official residence, surrounded by supporters and army guards.
In addition to soldiers, Rajoelina had been greeted by mpiandry, traditional healers who specialize in exorcism. The palace had been the site of a deadly clash between anti-government supporters and troops last month.
Edmond Razafimanantena, a newsstand owner in the capital, said he didn't want the president, his rival or the military in charge.
"You can't expect anything from these politicians, the opposition is as bad as the government. And you can't accept mutinous soldiers running the country," he said.
Tensions have been rising since late January, when the government blocked an opposition radio station's signal. Rajoelina supporters set fire to a building in the government broadcasting complex as well as an oil depot, a shopping mall and a private TV station linked to Ravalomanana. Scores of people were killed.
Days later, soldiers opened fire on anti-government protesters, killing at least 25. The incident at the same palace seized Monday cost Ravalomanana much of the support of the military, which blamed him for the order to fire at demonstrators.
Angele Ramaromihanta, a secretary living in the capital, said a peaceful solution must be found.
"I don't understand why the politicians don't want to talk," she said Tuesday. "I'm afraid of the army seizing power donors won't want to help us."
"After deep reflection, I have decided to dissolve the government and give up power "
What a joy kama JK ANGEKUWA NDIYO ANATUAMBIA NAMNA HIIIIIII?
Kumbe Ravolamanana aliwekewa Mtutu wa Bunduki kichwani na wanajeshi akaambiwa aachie madaraka?
SADC imempa Rajioline mda mfupi aachie ngazi ampe Spika Uraisi na Spika ampe Ravolamanana uraisi wake tena kwa haraka!
Kama Rajioline hatakubali..basi SADC itampiga na kumwondoa kwa nguvu kama Bakar wa Comoro!
Huyu DJ naona kama ni jamaa tu mhuni,
Naye pia hatadumu: watamtoa tu!
SADC na AU wako nyuma ya Ravalomanana!