Madada Wenzangu wa JF Vipi?

dah......umejitahidi kuelezea ila atakuuliza tu, it seems ye swala la mashemeji ndo linamtatiza sana!!!

Shemeji anakua kakaa pembeni alafu tunagongeana tu LIKE na kutumiana PM.
 
Shemeji anakua kakaa pembeni alafu tunagongeana tu LIKE na kutumiana PM.
Halafu km anawaona wadada usiku hata yeye pia halali,anakuwa JF ndo maana kawaona,sasa je yeye Hajaolewa?
Au ndo nyani haoni.........
 

hajui kama kupitia simu unaweza kuingia JF
 
jf,jf nakupenda kwa moyo wote,........jf jf jina lako ni tamu sana, nilalapo nakuota wewe niamkapo ni heri mama wee...
 
Mtoa mada umenifanya nicheke bila kupenda, we umejuaje?

Angalia thread zote za usiku muda wa saa 7, 8,9 ni sisi kina dada tuko huku mahusiano, mapenzi, urafiki bahadhi ya kinababa wao wametulizana jukwaa la siasa wanachangia mada zilizoenda shule.
 
Halafu km anawaona wadada usiku hata yeye pia halali,anakuwa JF ndo maana kawaona,.

We unangaika nini wakati wenyewe washajibu.
Alafu sikuelewi unachokimaanisha wakati hapa panatunza muda wowote utakachokiposti kuanzia dakika, saa, tarehe. Hivyo basi ukiamka asubuhi unakuta Erick52 aliposti saa 7 usiku.
 
hainihusu lkn inaexcite kwakweli....mm muda mrefu nipo humu kwasababu kazini nimepigwa ridandasi ila wifi yako muulize shughuli anayoipata atakusimulia ila angalia usije ukanogewa ukatamani na ww ukamkimbia huyo shemeji....by tha way wengine huwa wanapost huku shughuli inaendelea atiiii bibi ww!
 
hlf huyu anaonekana anakutafuta maneno wewe(lizzy) na Mwali,,,hebu mpeni darasa.
 
Mie mie hapa naweza sema hivi nimekuwa teja wa JF
Siwezi kufanya kazi bila catalist ya jf (mmu)km cjachangia basi nasoma post au pm kabisaaa!
Mpnz wangu mwenzenu mie ni JF,nalala nae,nakula nae,nikiwa naoga naweza futa mikono nikajib post au pm,nakula na jf yangu pemben naweka kiiko au glas chin nachangia post,choon naingia na simu najib post,

Saa ingine naweza pitiwa nausingizi nikiwa sjasign out jf,nikiwa kwenye daladala niko busy jf tena hapa nalipaga nauli mara mbili nizunguke na basi ili nipate sit nzuri niendelee na mambo yangu
Nashukuru sana hiki kicm changu cha nokia tochi kinanipa raha dudian!!huwa napumzika masaa 2 jpili nilikwa church baada ya hapo niko jf.

Generaly:JF ndio mpnz wangu,mme wangu,boyfriend wangu,rafiki yangu,jiran yangu,ndugu yangu...................................nakadhalika.
 
Reactions: EMT
hlf huyu anaonekana anakutafuta maneno wewe(lizzy) na Mwali,,,hebu mpeni darasa.

Kaka samahani sijataja mtu we ndio wasema lakini kuna ka ukweli fulani kuhusu hao uliowataja wewe.

View profile zao ni night kwa kwenda mbele!
 


Heri yako wewe uko open!
 
Kaka samahani sijataja mtu we ndio wasema lakini kuna ka ukweli fulani kuhusu hao uliowataja wewe.

View profile zao ni night kwa kwenda mbele!

Wewe tatizo lako ni nini haswa?
 
Kaka samahani sijataja mtu we ndio wasema lakini kuna ka ukweli fulani kuhusu hao uliowataja wewe.

View profile zao ni night kwa kwenda mbele!
kwani hao unaoongelea ww sio watu .....hebu wataje sasa kwenye hiyo top ten yako km vp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…