Madada Wenzangu wa JF Vipi?

Kwa wanaoishi na extended Family muda huo ndiyo muafaka... Lakini mara nyingi muda huo aidha wanaume wanakuwa wanaangalia mpira wa Ligi ya Spain (kama jana usiku kuamkia leo) au ndiyo wanarudi kutoka nyumba za wenyeji baada ya kupitia BAA!

wewe ndo mke wa baba-enock?
 
Si za kunitumia hadi hatua hiyo? ulidhani bure kisa mi housegirl wenu?? we vipi?
Halaf nimeona ka sredi ka hashy ka uzushi uzushi, ndo anaekuzingua nini? achana na mafukara bana! mzembe getto nina AC mpaka store ya kuhifazia mkaa, njoo ukule raha bila kodi
 
Halaf nimeona ka sredi ka hashy ka uzushi uzushi, ndo anaekuzingua nini? achana na mafukara bana! mzembe getto nina AC mpaka store ya kuhifazia mkaa, njoo ukule raha bila kodi

Huu mwaka kweli mzuri, yule ni historia....nakaribia kufika hapo....usijabadili mawazo bure!
 
Wewe shamba nini inakuwashia iliyokua pilipili ? Tunakeshaje ? Akili nzuri hatuna kama !
 
Mie cna wa kumhudumia that big nite,so i wil be here anytime i want.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…