Hili nimeipenda. Kwani hilo swali hata mimi linanipa maswali magumu sana kuhusu hawa madada zetu ambao kutwa nzima na usiku mpaka saa 8 au 9 bado wako kwenye JF wanajibu thread. Hivi hawa hata wakipata ndoa zao, je JF si itakuwa tamu kuliko familia?
kama siti zimejaa uko tayari kusimama?
Acha longolongo... Nipe sababu kuu tano kwanini jana usiku hukuja kwenye ile miadi yetu... Afu jichagulie azabu, nikucharaze bakora ngapi...EMT ikitokea hivyo unashukuru Mungu, there is always a positive side of the problems we face daily.....if it doesn't kill you it makes you stronger....the search continues....!! If you love Lizzy, please go ahead,if you find out she is your sister....hey ho...we celebrate!!
EMT ikitokea hivyo unashukuru Mungu, there is always a positive side of the problems we face daily.....if it doesn't kill you it makes you stronger....the search continues....!! If you love Lizzy, please go ahead,if you find out she is your sister....hey ho...we celebrate!!
Hili nimeipenda. Kwani hilo swali hata mimi linanipa maswali magumu sana kuhusu hawa madada zetu ambao kutwa nzima na usiku mpaka saa 8 au 9 bado wako kwenye JF wanajibu thread. Hivi hawa hata wakipata ndoa zao, je JF si itakuwa tamu kuliko familia?
Mi nshaona dalili za kuipotezea ile kitu. . .
Itakua saa 9 mpaka 12 asubuhi, ntakuamsha.
Wachaga nao wana lugha nyingi.
Mi sikupendi kabisa, umezidi usanii siku hizi.
EMT ikitokea hivyo unashukuru Mungu, there is always a positive side of the problems we face daily.....if it doesn't kill you it makes you stronger....the search continues....!! If you love Lizzy, please go ahead,if you find out she is your sister....hey ho...we celebrate!!
Dearest embu acha hizo . . .
Will do. . . ushaandaa cha kusema?Yaani duhh nlihesabu masaa mpaka kizungu
Zungu na ki africa Africa..
Niamshe tu lakini .. thanks Doto..
Na ulipataje muda wa kufuatilia posts zao na muda wanaopost... If I may ask. Na je anayeandika na anayesoma kwa wakati huohuo ni nani hana muda?.... Humlishi hakulishi... Kama amekukera mpotezee, kama kakufurahisha jiunge naye.... Na hili ndilo neno la ODM.Hili nimeipenda. Kwani hilo swali hata mimi linanipa maswali magumu sana kuhusu hawa madada zetu ambao kutwa nzima na usiku mpaka saa 8 au 9 bado wako kwenye JF wanajibu thread. Hivi hawa hata wakipata ndoa zao, je JF si itakuwa tamu kuliko familia?
Acha longolongo... Nipe sababu kuu tano kwanini jana usiku hukuja kwenye ile miadi yetu... Afu jichagulie azabu, nikucharaze bakora ngapi...
Will do. . . ushaandaa cha kusema?
Kusikiliza zaidi .. ntasema panapo takiwa..
Wala, binafsi sijawahi kuona buzaa Moshi. Buzaa nimeijulia Arusha. . . Moshi tuna Mbege na Nzuga (nyeupe kama buzaa). . .
Yenyewe hua wanaroweka unga sijui ni wa mahindi ule nadhani na ulezi kidogo kwa siku kadhaa mpaka uanze kuchachuka, ukishachachuka wanasonga kama ugali (the best part of the whole process for me) , wanauacha unapoa alafu sijui wanaweka kitu gani kingine kabla ya kuikamua tayari kwa kukata kiu. Alafu yenyewe ni bei rahisi kuliko mbege.
Halafu kumbe umekwama wapi? Mbona masaa yeshaenda hivi na bibi kanipigia simu kunitaarifu kashafika kwao? Usisahau kuja na matokeo ya ule mchezo tulocheza jana usiku...sababu kubwa ni kuwa Kaizer aliniacha babu, nilipompigia simu akawa amezima... nisamehe babu,nakuja sasa hivi...adhabu yangu naomba nije kushinda na wewe kwa siku tatu....bibi aende kusalimia kwao.....!!
Hhhm. . .labda kama na yeye atasimama.
Samahani babu ulisha nisaliti baada ya jogooAfu kama nahisi kaharufu ka kikwapa cha Afrodenzi.... Hebu nleteeni haka kabinti, kuna ukaguzi flani hivi sikuufanya.
Ngoja nikapike pilau nlingojea hili tangu kipindi kileee.. asante mwahego