Kujikondesha sana nako kubaya
Hiyo picha aliyoinama kimgongo kukirudisha kwa nyuma ametoka mtamuu. Hasa hizo lips so sweet for denda and mike performance ......
Umenipa idea, ngoja niiandikie paper kisha niitafute fund NGO tokomeza artificial and maintain naturality.
Ila wanaume mna nafasi kubwa sana ya kuuzuia hii kitu. Yaani kuanza kuwa reject wale wanaotumia mikorogo na kuwapita kama hamuwaonihata wawe wazuri vipi, shida yenu tuu hamtaweza kuvumilia kufunga zipu mtaifungua tuu halafu mkishamwaga mnaanza kumnanga mschana mwenyewe many were ya wafu kope za katani kucha za plastiki uso Fanta mkono na miguu Pepsi na madogo kibao.
We use asilia nao wapo wapate ni hao ila wale wa dukani muwagwae ili wajipende wakawa na rangi zao asilia.
Aiseeh.... so they beat around the bush....
nimeipenda hiiView attachment 310893
she looks good. Black beauty hiyoyeah, najinsi inavyosindikizwa na macho, stare na lips.....lord have mercy!
natural
with make ups
1989, tyson akiwa kwenye peak, akiwa na super model very young naomi camppbel.....enzi hizi tv hakuna, magazeti labda africa now...otherwise ni redio tu kwakwenda mbele......eneo nililokua nakaa mimi miaka hiyo antena za tv zilikua katika nyumba mbili tu
yeah...ukitaka ku prove ..wewe kumbuka ule udongo mliokua mnatumia shule...jaribu kujua ingredients zake kwa majina ya kiingereza halafu kila uendapo shopping tazama contents za cosmetics tofauti ....yani lazima utakuta huo udongo upo tu kwenye hizo brands kubwa.....
Yani nikama wanavyochukua mchanga wa dhahabu kwenda kuusafisha japan\china then kutuletea gold plated jewelry na kutuuzia bei ya juu
Mungu ni mwema na kamuumbia kila mtu na mwenzi wake, hivyo wale wanaotaka weupe watawapata weupe kwa asili, sisi wa kutaka maji ya kunde nasi Mungu katuumbia, vile vile true black. Kuhusu NGO ni wazo zuri, lakini mbona avatar yako pia mkorogo.Umenipa idea, ngoja niiandikie paper kisha niitafute fund NGO tokomeza artificial and maintain naturality.
Ila wanaume mna nafasi kubwa sana ya kuuzuia hii kitu. Yaani kuanza kuwa reject wale wanaotumia mikorogo na kuwapita kama hamuwaonihata wawe wazuri vipi, shida yenu tuu hamtaweza kuvumilia kufunga zipu mtaifungua tuu halafu mkishamwaga mnaanza kumnanga mschana mwenyewe many were ya wafu kope za katani kucha za plastiki uso Fanta mkono na miguu Pepsi na madogo kibao.
We use asilia nao wapo wapate ni hao ila wale wa dukani muwagwae ili wajipende wakawa na rangi zao asilia.
anatia huruma kajishusha, na kuadmit makosa yake. kaomba msamaha karudisha heshima...analipwa ku show up on some shows, movies etc....hali simbaya sana ameanza kutengeneza millions ila hachezei hela kama anavyofanya maywether sasa hv
Feza bwana tuitafute tu ila ina madhara yake........

Duh, asante kwa taarifa mkuu, maana kuna tetesi nilizipata kuwa Tyson ameamua kuwa shoga maisha yamemvuruga.
Mungu ni mwema na kamuumbia kila mtu na mwenzi wake, hivyo wale wanaotaka weupe watawapata weupe kwa asili, sisi wa kutaka maji ya kunde nasi Mungu katuumbia, vile vile true black. Kuhusu NGO ni wazo zuri, lakini mbona avatar yako pia mkorogo.