Madada wa mujini, role model wenu anajitapa kuitafuta ndoa ya tano

Baada ya kuikimbia ndoa ya nne Dida shaibu amejitapa kuwa tayali yupo kwenye mahusiano mapya na mwakani 2022 ataolewa tena ndoa ya tano.

Dida amesema wakati anafunga ndoa na mhe.Kumbilamoto kuna mtu mwingine ambae alikuwa nae kwenye mahusiano lakini mapenzi yao yalikufa baada ya yeye kuolewa.

Na sasa ameamua arudi kwa mpenzi wake wa awali ambaye ni kijana.

Katika utetezi wake Dida anasema "kaachwa mama Neilson Mandela atakuwa yeye!!" na kuwataka watu waache kumdisi.

Ikumbukwe wakati anaolewa Dida alisema huyo ndiye atakaekuwa mume wake wa kufa na kuzikana.

View attachment 2059224
Kwa zile millions alizochangisha huyu atakuwa mjasiriamali wa michango😅
 
Hakuna maajabu ni bwawa limemwagiwa upupu wa waganga wa kienyeji ili unase
Sikupingi mzee mwenzangu..
We hata ukisema mchanga mtamu mie naramba, ukiniambia mchanga sukari naunga kwenye chai kabisa...

Lile linaonekana ni gwagu, jini makata subiani,maimuna wapo kwa hewa, waganga itakuwa waishatia tia saana vikojoleo ili dawa itende kazi.
 
Baada ya kuikimbia ndoa ya nne Dida shaibu amejitapa kuwa tayali yupo kwenye mahusiano mapya na mwakani 2022 ataolewa tena ndoa ya tano.

Dida amesema wakati anafunga ndoa na mhe.Kumbilamoto kuna mtu mwingine ambae alikuwa nae kwenye mahusiano lakini mapenzi yao yalikufa baada ya yeye kuolewa.

Na sasa ameamua arudi kwa mpenzi wake wa awali ambaye ni kijana.

Katika utetezi wake Dida anasema "kaachwa mama Neilson Mandela atakuwa yeye!!" na kuwataka watu waache kumdisi.

Ikumbukwe wakati anaolewa Dida alisema huyo ndiye atakaekuwa mume wake wa kufa na kuzikana.

View attachment 2059224
Unaweza ukakuta nae akivishwa pete analia.........,ila Dida naona ndoa kwake zishakuwa kama birthday party.
 
Sikupingi mzee mwenzangu..
We hata ukisema mchanga mtamu mie naramba, ukiniambia mchanga sukari naunga kwenye chai kabisa...

Lile linaonekana ni gwagu, jini makata subiani,maimuna wapo kwa hewa, waganga itakuwa waishatia tia saana vikojoleo ili dawa itende kazi.
Hivi sepenga yupo wap
 
Back
Top Bottom