Madada poa na kazi za ziada

Madada poa na kazi za ziada

Mkuu Witmak255 mi nadhani kuna siri Fulani hivi kwa hawa ndugu zetu nje ya kujipatia kipato. labda wengine ndio kama tunavyosikia wapo kazini wakiitumikia serikali ama taasisi Fulani hivi za Kijasusi. Haiwezekani mtu anatinga maeneo hatarishi 90% akiwa uchi lakini anakokota harrier new model na muonekano wake si wa umasikini….. kuna namna hapa
Mimi huwa nawapima then nawapiga tu hayo mengine watajua wenye, Tena Kuna mmoja Yuko mwanza aisee huwa ananifurahishaga nikifika pande zile Sina haja ya kuwazia kipozeo
 
Back
Top Bottom