Madada na Vitambi vya bia za OFA.

Madada na Vitambi vya bia za OFA.

jamani kila mwanamke mwenye kitambi ni bia za ofa? haujui kuwa wengine wamezaa ndo mana matumbo yako hvyo mana hawayakuyafanyia kazi tangia mwanzo.

Khee wakizaa si tumbo linapungua au
 
Siku hizi kuna idadi kubwa sana ya madada wenye vitambi (siyo mimba).Ni bia za OFA hizo. Asilimia kubwa ya madada hawa ni hatari kwa kupenda OFA za bia.
Aisee wanakunywa bia haoooo....che che che che!
Usiombe ukutane nao baa wanamaliza kreti aisee.

Yaani hamna janamke linalinikera kama lenye kitambi cha bia za ofa.
Yaani ukiliona liepuke.

mie mbona nagonga tusker kwa kwenda mbele tena ukijidai unatoa ofa wala sikatai, ila baada ya hapo kila mtu ashike hamsini zake. lAKINI UKINICHEK, TUMBO FLAT KABISA NA NINA WATOTO 2. wengine bia tunapiga(za ofa mle mle) na bado no matumbo,
 
kwa wakina mama/ wadada kuwa na vitambi hata haipendezi please do something acheni uvivu matumbo makubwa hayawapendezi bwana , mnakuwa wabayaaaaa, take care for yourselves, :nono:
Tatizo ukiwaambia wanakuwa wakali badala ya kuufanyia kazi ujumbe wanaopewa. Dada mmoja kanikasirikia hadi leo kwa kumshauri achukue hatua za kupunguza tumbo na manyama uzembe!
 
Bongo kuna vitambi kitu wanawake wa zambia balaa ila wanakwambia ni castle lager!kuzaa hatukatai tumbo linarepeta sana ila jamani pombe sana unakuta mwanamke anakitambi kama tikiti maji halafu wanaozungumziwa hapa wanavitambi vya bia na mchemsho na wanakwenda monde kabla ya hapo wanagonga blue band na kutafuna tishu ili wakutie hasara...unakuta wana wimbo wao wakishakunywea unasikia hvi"kama ni gangsta au sharobaro ongea yani hapo ushaliwa na mzigo hupati


samahani mdau naomba kuuliza, blue band na tissue papers zinawafanyaje??
 
hiki ni kilio cha mtu ambae wameshamliza hela yake sasa anaona maruerue. hahaha. pole.

MImi hata kuonekana na janamke lenye tumbotumbo naona aibu sasa iweje nikae nae bar anywe bia yangu. Wewe umerogwa..
 
hajarogwa hlf ictoshe kila shetani na mbuyu wake wapo ambao wanavipenda hvy vitambi na ambao km nyie mnao zuga hamvipendi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom